Povu.com
Vumilia mkuu maumivu ya chuki ndio yalivyo
 
Alipewa mpako wa mwisho na Cardinal...
Ticket ya heaven kwa imani yake ya RC.

Wengi hatutafika kutokana na chuki
[emoji1787]
 
Povu.com
[emoji1787][emoji1787]
ukumbi umejaa has a,namuona rais Biden,Putin na Kiduku wa Korea na wrote wamevaa T-shirt za picha ya mwendazake

mbunge Msukuma na Silinde naona wanatuwakilisha...Deo Sanga anasinzia ukumbini
 
Nani na nani waliwahi kufanyiwa mkuu?
Just kyuliazz[emoji1787]
Hii ni kumbukumbu ya kawaida ya UN pindi kiongozi wa nchi mwanachama anapofariki. Hapakuwa na sifa za maana kwa magufuli isipokuwa tu lugha ya kawaida ya staha kwa wafiwa.
 
Kumjadili huyu marehemu aliyeharibu nchi kuliko yeyote ni kujitakia mikosi tu! Kwanza mwili wake ulitakiwa uchomwe moto
Kwa kitaalamu tunaita ni taarifa mchakato.
Yani macho yakiona ubongo unachakata haraka sana na kutuma taarifa hizo kwenye kichwa cha chini. Ni tendo la muda mfupi sana ila taarifa zake ukizitia kwenye disk inajaa
Hapo kwenye bold, hiyo ndiyo fani yako huko kwingine unapuyanga tu!
 
haya mapovu mnayomwaga huku simkafulie hata boxa zenu, kusifiwa asifiwe magufuli alafu povu liwatoke nyie, yaani mnaonea wivu hadi marehem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…