Umoja wa Mataifa wapitisha azimio kutaka vita isitishwe, Israel yapinga na yaongeza mapigo Gaza

Mungu wa kweli nyinyi hamjamjua
Yuko wapi wa kweli?, haujiulizi kwa nini Israel wakiwa watu kama laki moja tu waliweza kuyapiga mataifa 6 ya kiarabu kwa wakati mmoja na wakashinda?, unadhani waliwezeshwa na nani?.

Kwa sasa acha niendelee kumsifu na kumuabudu Mungu wa Israel na wewe baki na Mungu wa Mohamad baada ya kifo cha mmojawetu itafahamika nani alikuwa sahihi.

MUNGU ibariki ISRAEL
 
Pretty sure Israel won’t have a peaceful day after this bloodshed atrocities in Gaza.

The world will NOT forgive Israel

Israel won’t be the same from now on.

MARK THIS COMMENT.
 
Hana lolote huyo General wa kimarekani ndio ana iongoza hivi vita lakini hawezi shinda hao wataishia kuvunja majumba tu hawana jipya.

Jana kapewa kipigo na Hamas kawa kama mwehu analipisha kisasi kuvunja majumba, afu Mungu akawajalia wakawarushia maboom wanajeshi wao leo asubuhi walidhani ni jeshi la Hamasi
 
Ujinga ujinga tuu utafikir hamna kaz za kufanya
 
Mashambuizi ya ndege za kivita ndio hatari zaidi.Hamas hawana ndege hata moja wala kifaru.Kama wewe si mtu muovu basi huwezi kupigwa na mtu kama Hamas.
Kwenye vita au kujibu mapigo kuna kuchaguliana silaha?
 
Wenzako wanasema Waisrael wamekimbizwa Gaza. Wewe unasema UN inaitaka Israel isitishe maangamizi Gaza! Mbona mnajichanganya? Ndio maana Muisrael anawakung'ukuta! Dadeki!!!
 
Wenzako wanasema Waisrael wamekimbizwa Gaza. Wewe unasema UN inaitaka Israel isitishe maangamizi Gaza! Mbona mnajichanganya? Ndio maana Muisrael anawakung'ukuta! Dadeki!!!
Yote mawili inawezekana.Ikiwa ametakiwa asitishe vita akakataa.Sasa akikimbizwa itakuwa ni bora zaidi ndipo atakapoelewa somo.
 
Mashambuizi ya ndege za kivita ndio hatari zaidi.Hamas hawana ndege hata moja wala kifaru.Kama wewe si mtu muovu basi huwezi kupigwa na mtu kama Hamas.
Takbiiiir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…