Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko

Ukiwa na upeo mdogo wa kuchambua mambo huwezi kuona!
 
Amakweli Dunia ina mambo, "KINYAGO" walicho kichonga wenyewe leo kinawatisha🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Makonda amekuwa ananyanyasa watu wengi tu na hajaanza leo. Ni tangu akiwa mkuu wa mkoa wa Dar. Huyu mama naye ni mnafiki tu kwa sababu hakukemea na amesubiri mwanamke anyanyaswe.
 
Kabisa. Uwezo ni mdogo. Huwa anapitiliza sana.
 
Nongwa...... ujue tatizo la makonda ni creative na genius.........hivi ndivyo vinavyomgharimu hata na yeye mwenyewe ......ona huyu popo ameanza kuhoji eti mafuta ya magari ya msafara anayatoa wapi kana kwamba yeye ni dada wa raisi .....so anahoji lwa mdogo wake........NONGWA.......tumuache brazamen makonda afanye kazi .......maana hata ile ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar aliitendea haki mle ndani kama hotel ......huyu jamaa yuko vizuri.........
 
Makonda sasa hivi atakuwa historia.
 
Haha mpaka unamuombea maanake unakili kuwa mdomo wake si msafi na Biblia inasema kuwa kimtokacho mtu mdomoni ndicho kilicho moyoni mwake. Nilidhani unashauri atenguliwe kwa madhaifu yake maana nchi inahitaji viongozi walio very smart na tunaona hata dunia ya kwanza ikijulikana na jumuiya tu kiongozi alikosea sehemu lazima ajiudhulu kulinda heshima yake, this is quite different from ours.. Sasa wewe unamponya kwa Jina la Yesu ili aendelee mkuu na sio apishe walio smart?
 
Kuna shida inaanza kumea kwa kasi ya ajabu nchi hii! Enyi kina mama zetu wachache mlio Kalia Viti hivyo, linapokuja suala la uwajibikaji na kuwajibishwaji kwa watumishi wa umma mpunguze mihemuko!
Awe mwanamume au mwanamke akivunja miiko ya kiutumishi awajibishwe! Makaripio ya kwenye mafaili hayatuokoi zaidi yanatupa aibu ya nchi hivyo muhusika akiipata aibu hiyo binafsi nadhani inaamsha mishipa ya aibu kwa wengine na kuwa na hofu ya MUNGU!
Mbona wa mama zetu wajawazito wakipigwa makofi au kutukanwa huko leba na wanawake wenzao hamtoi matamko kama haya!!? Mbona hamtoi matamko ya kupinga rushwa hadharani, mbona hamsimami kupiga kelele barabara zikiwa mbovu waume na watoto wenu tukiwa tunapata tabu huko barabarani, mbona siwasikii mkiwasapoti hata mawaziri huko vijijini kuhusu hata kilimo, michezo na mambo lukuki ya kiubunifu!? Labda mimi Ndio sioni au sisikii!!?
Hebu muungeni mkono mama yetu Raisi wetu mama samia kwa hoja ni vitendo chanya!
Mama zetu mna akili, mna utu sisi kama watoto wenu tunataka muwe taa isiyozimika na sio upepo unaopuliza kwa nguvu zote kuizima taa hiyo!
Awe mwanamume awe mwanamke woote tunahitaji mfumo mpya wa kuwajibishwa serikalini maana mfumo uliopo unakumbatia ufisadi inaolikosesha taifa heshima!
Ni mtazamo!
 
Siasa chafu za kitoto Kwa Nini asingemwbia Makonda mwenyewe direct au hata kumwandikia Kwa Nini amseme hadharani ?
 
Safi sana UWT huyo mjivuni mwizi wa vyeti lazima ashughulikiwe
 
CHAWA wanasema UWT inatumika , madui wa MAKONDA, sasa kwanini ana maadui na si watu wengine?
 
Mi sijaona kosa kusema hivyo.Angesema mimi na mke mzuri zaidi yako Sawa ila hapo sijaona kosa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mtu kama wewe unadhani unaweza kuona kosa hapo, au hata wewe hujijui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…