Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko

Sioni kosa la makonda ila naona kichwa cheupe cha huyo aliyekasirishwa
 
Kuna memba aliota jamaa kujitwalia hii Kaya,itakuwa hivyo 2030 akijirekebisha,kwa simuoni wa kumng'oa meno ya mbele,muda utaongea.....
 
Kila makaonda akipata mic na kamera lazima audhihirishie umma namna alivo mpuizi mshamba. Sijui jitu la design yake bado linapewa hizi nafasi kwanini. Anapenda sifa sana hata kama matokeo ya sifa zake ni kumuumiza mwenzie hajali kabisa
 
Mi nashangaa kama mpaka sasa hajatumbuliwa.

sii kwa chuki ila hiki kijibwana hakifai kuwa kiongozi kwa nafasi yoyote ile
 
Sasa huyo ndio Bwana Pengo anamtabiria Urais baada ya safari ya Kizimkazi.Kazi kwelikweli
 
Nyie wanawake badala ya kutoa matamko sasa fanyeni vitendo. Mnshandwa kutengeneza online petition mkusanye signature kama 5000 hivi kumshinikiza huyu boya atumbuliwe?
 
 
Lucas mwashambwa uko wapi mmeo kumbe anawanyanyasa uwt mbona wewe unamvumilia?
 
mbona hawasikitishwi na ubadhirifu matumizi mabaya ya ofisi miundombinu na mali za uma. wapunguze uchawa.

hawasikitiki serikali ikienda kupitisha bakuli na kukubali riba kubwa
 
Lucas Mwashambwa alikuwepo?
 
Tuombe kwa Mungu gharama za freight baharini zishuke na sio kupoteza muda kumuombea mtu mpumbavu.
Zipo kampuni nyingi za Cargo wala hazijapandisha bei acha kulalamika, nenda Mo Cargo, jengo la Ushirika tower floor ya 12.Waliopandisha wnaenda na upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…