Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Mimi siku hiyo hiyo nilipiga jeans,nikatembea mpaka home,na ikawa hivyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna comments za ajabu humu mpaka zinakufanya uwe stressfree,ila kuwahi au kuchelewa ni maneno tu ya kijiweni kuna wengine tumetahiriwa hatujitambui but mashaAllah mashine c za kitoto zinapoinuka pengine na afya ya mtoto toka anakua na mapitio yake kiujumla yanaweza kuchangia ukuaji wa viungo vyake.
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa mkubwa kipindi hicho mimi nilikuwa na miaka 9, alipopona kidonda baada ya kutahiriwa akaenda kutest kwenye papuchi ya ng'ombe kama mkuyenge umeimarika kwa kazi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Daah! Tunakula nyama kumbe ng'ombe wenyewe wanapigwa magoli na binadam
 
Sawa mkuu nakuelewa sana
 
Wakurya na Wamasai wanatahiri kijana anayejitambua kuelekea au wakati wa kubarehe. Mtahiri akibarehe la sivyo kwa umri wa miezi sita unatujazia vibamia mjini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…