popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Mimi siku hiyo hiyo nilipiga jeans,nikatembea mpaka home,na ikawa hivyoIna maana ulijipeleka mwenyewe kutahiriwa kwa siri...?
Endapo usingefanya hivyo, wazazi wasingekupeleka kutahiriwa?
Ulivaa nguo za aina gani baada ya kutahiriwa kiasi kwamba usijulikane mapema, sisi mtu ukishatahiriwa unabaki kuvaa nguo moja tu(shati au t-shirt) halafu unajifunga shuka rubega kama wamasai. Hii inasaidia usitoneshe kidonda na usisababishe joto ambalo ni hatari kwa kidonda.