KABONYELLA KELVIN
Member
- Feb 3, 2014
- 31
- 42
Ukitahiri ukiwa mtu mzima lazima ushonwe na nyuzi na hii iko na maumivu sana maana uume lazima kuna wakati usimame na kusababisha nyuzi kuvuta, watoto wachanga hawashonwi na wanapona haraka sana kulinganisha na watu wazimaHuwa nafikiria mwanaume aliyebalehe akitahiriwa hapati shida kweli?ama huwa ana namna ya kuzuia isiwe inasimama?
Hata mtoto inasimama tu!Huwa nafikiria mwanaume aliyebalehe akitahiriwa hapati shida kweli?ama huwa ana namna ya kuzuia isiwe inasimama?
[emoji2][emoji2][emoji2] ni challenge kwa kweli.Huwa nafikiria mwanaume aliyebalehe akitahiriwa hapati shida kweli?ama huwa ana namna ya kuzuia isiwe inasimama?
Ukitahiri ukiwa mtu mzima lazima ushonwe na nyuzi na hii iko na maumivu sana maana uume lazima kuna wakati usimame na kusababisha nyuzi kuvuta, watoto wachanga hawashonwi na wanapona haraka sana kulinganisha na watu wazima
eeeh kutahiri inaleta mvuragano wa kihisia
Hata mtoto inasimama tu!
Kile kidonda ni kidogo tu hakina madhara hata ikisimama.
[emoji2][emoji2][emoji2] ni challenge kwa kweli.
Ila nilivyokuwa primary kuna waliokuwa wakitahiriwa tukiwa hadi std 6 na 7.
Naona kama ni changamoto kwenye handling yake.
Jamaa walikuwa wanapewa hadi special meals kipindi hicho. Mitori mitori sana.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kinakuwa kidogo katika umri gani?Hata mtoto inasimama tu!
Kile kidonda ni kidogo tu hakina madhara hata ikisimama.
sana tu. Hata papuchi wanatafuna vizuri.Kumbe na watoto wanasimamisha!🙄
Huyo mtoto mchanga ni wa umri gani mkuu?Ukitahiri ukiwa mtu mzima lazima ushonwe na nyuzi na hii iko na maumivu sana maana uume lazima kuna wakati usimame na kusababisha nyuzi kuvuta, watoto wachanga hawashonwi na wanapona haraka sana kulinganisha na watu wazima
Yes mimi mwanangu anajua alizaliwa hivyo! Huwa namuonesha tu video yake siku alipokuwa anafanyiwa. Na unajua hii haina complications kwa mtoto unampaka tu vaseline ya mgando baada ya kuwa ameshafunguliwa kidondaBasi kumbe ni heri kufanya hili jambo utotoni
Mwanangu wa kwanza ana miaka minne kasoro nilimtahiri akiwa na siku tatu, na huyu mwenye miezi mitatu ametahiriwa akiwa na siku saba
It sound Good.Mwanangu wa kwanza ana miaka minne kasoro nilimtahiri akiwa na siku tatu, na huyu mwenye miezi mitatu ametahiriwa akiwa na siku saba
Hii iko poa mkuu, tena hawasumbui kabisaIt sound Good.
Mimi nilikataa bure tu!!
Una ushahidi mkuu?Mapema zinadumaa
Mimi wanangu nawatahiri baada ya kumaliza miezi 3Wakuu, hasa wenye vijana wa kiume.
Ni umri upi sahihi wa kumtahiri mtoto wa kiume?
Miezi sita inafaa?