KABONYELLA KELVIN
Member
- Feb 3, 2014
- 31
- 42
Ukitahiri ukiwa mtu mzima lazima ushonwe na nyuzi na hii iko na maumivu sana maana uume lazima kuna wakati usimame na kusababisha nyuzi kuvuta, watoto wachanga hawashonwi na wanapona haraka sana kulinganisha na watu wazimaHuwa nafikiria mwanaume aliyebalehe akitahiriwa hapati shida kweli?ama huwa ana namna ya kuzuia isiwe inasimama?