Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Huwa nafikiria mwanaume aliyebalehe akitahiriwa hapati shida kweli?ama huwa ana namna ya kuzuia isiwe inasimama?
Ukitahiri ukiwa mtu mzima lazima ushonwe na nyuzi na hii iko na maumivu sana maana uume lazima kuna wakati usimame na kusababisha nyuzi kuvuta, watoto wachanga hawashonwi na wanapona haraka sana kulinganisha na watu wazima
 
Naona kila mtu aanaongelea lake tu, hii issue inategemea na wazazi tu hakuna cha bamia wala nyanya chungu hapo.

Kuna dogo alichinjwa akiwa na 4months now ni kijana mkubwa na ana mashine ya kutosha, aya issue ya kijijini sijui nini, hizo zote ni fikra za kila mtu.
 
Huwa nafikiria mwanaume aliyebalehe akitahiriwa hapati shida kweli?ama huwa ana namna ya kuzuia isiwe inasimama?
[emoji2][emoji2][emoji2] ni challenge kwa kweli.

Ila nilivyokuwa primary kuna waliokuwa wakitahiriwa tukiwa hadi std 6 na 7. Naona kama ni changamoto kwenye handling yake.
Jamaa walikuwa wanapewa hadi special meals kipindi hicho. Mitori mitori sana.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Ukitahiri ukiwa mtu mzima lazima ushonwe na nyuzi na hii iko na maumivu sana maana uume lazima kuna wakati usimame na kusababisha nyuzi kuvuta, watoto wachanga hawashonwi na wanapona haraka sana kulinganisha na watu wazima

Basi kumbe ni heri kufanya hili jambo utotoni
 
Duh.
Hii ni changamoto nyingine

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
eeeh kutahiri inaleta mvuragano wa kihisia
ndo maana kuna kipindi nilkua mwanza kuna jamaa walitahiriwa wakiwa watu mzima
wakawa wanalalamika kuwa pindi wanapokutana na wenza wao hali sio kama zamani utamu umepungua😀😀😀😀😀
 
[emoji2][emoji2][emoji2] ni challenge kwa kweli.
Ila nilivyokuwa primary kuna waliokuwa wakitahiriwa tukiwa hadi std 6 na 7.
Naona kama ni changamoto kwenye handling yake.
Jamaa walikuwa wanapewa hadi special meals kipindi hicho. Mitori mitori sana.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app

Heri umuwahishe huyo dogo sasa asije kupata hizo tabu huko mbeleni
 
Ipo hivi ,mtoto akiwa chini ya mwaka ukimpeleka hospitality hamakati wanaibinua ngozi wanaishonea kwa nyuma ,mwache afikishe miaka 7-10 kisha tafuta ngariba amtoe huo mfuko wa sweta itakuwa safii kuna imani ya kwamba ukimtaili mtoto akiwa mgodo sanaa unasababisha isikuwe na hivyo kuturengenezea team vibamia.
 
Nilikuwa na swali kama hilo mimi wangu tarehe 3 mwezi ujao anafikisha miez 2 nawaza ni muda gani wa kumtahiri
 
Back
Top Bottom