Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Mimi nilikua na dogo langu nikiwa nishamaliza std 7,dogo akiwa std 6,docta alikuja homu babu akampa maelekezo,akafanya kazi yake,babu akatupatia chupa kila mtu unaiweka chini ya uvungu dushe likiamka unaiweka ile chupa tumboni kwasababu ya ubaridi mpini unalegea,au unapiga kwenye kiwiko cha mguu hii techniqe ilitusaidia maana tulikua tunakula vyakula vinavyopelekea iyo hali.
 
Nilikatwa govi nikiwa form 3 ila msiwafanyie watto wenu hivyo unakuta unapat kamchezo ukikumbuka unamkono wa sweta unakuwa mpole
Kuna msukuma mmoja, wakati mimi nikiwa O-level yeye alikuwa A-level.

Alikuwa hajatahiriwa, shule ya Boarding tulikuwa tunashare mabafu ambapo tunaoga watu wengi kwa pamoja.

Yeye alikuwa anaoga usiku tu kisa anaogopa maana hajatahiriwa. Alikuwa anapata tabu sana kutime hiyo mida ili akaoge maana watu walipogundua wakawa wanamlia timing ili wamuone[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaha dahh mwenyew nilipata tabu sana sema mm nilikubaliana na hali karibia shule nzma walikuw wanajua

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Halafu wanafunzi wanoko sana, wakijua kitu watakutania kila aina ya utani.

Hapo hadi kuzungumzia mademu watakunyima raha sana maana watakuambia wewe mkono wa sweta utamfanya nini demu
 
Mimi nafikiri 14 inakua poa maana mtoto anakua ameshajenga psychology vizuri kuwa ,anajiona hajakamilika hususani anapokutana na wenzie waliotahiriwa,sisi tulimwomba babu yetu wenyewe na tulifurahi ,tukawa huru kwenye michezo kama kuogelea,n.k
 
Yes nilijipeleka mwenyewe, wale wanataka mpaka uwe na 18, nakumbuka nilivaa kaptula ya Jezi so ilikuwa laini nilivaa kwenda na kurudi na wakati wote wa kuuguza, nilienda natembea na nikarudi natembea haikuwa mbali ni kama km 2 ganzi ilianza kukata nafika nyumbani.
Miaka 18 ni mingi sana.

Sisi max ilikuwa ni miaka 16 ila zamani ndio ilikuwa inafika hiyo 18.

Ila kwa sasa kizazi hiki walio wengi wanatahiriwa wakiwa na miaka 10 hadi 12.

Sisi hutakiwi kuvaa nguo ya aina yoyote isipokuwa shati au t-shirt tu.

Unapewa shuka, tena kanga nyepesi unajifunga. Kwa siku za mwanzo unakuwa unashinda ndani tu ili usipigwe na jua maana utaathiri kidonda kwa joto. Ukianza kupona ndio unaruhusiwa kutoka nje na unaanza kufanya kazi hasa kuchunga ng'ombe
 
Back
Top Bottom