Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sisi tulikuwa tunaambiwa ukitahiriwa ndio unakuwa kwenye utu uzima na hapo unafundishwa ujasiri wa mambo mbalimbali ambapo ndio wanapaita Jandoni
Duuuh 🤔🤔🤔🤔29 ndo militia govi language baada kuhakikisha mzigo wangu uko imara
29 ndo nilitoa govi langu baada ya kuhakikisha mzigo uko imara
Kuna msukuma mmoja, wakati mimi nikiwa O-level yeye alikuwa A-level.Nilikatwa govi nikiwa form 3 ila msiwafanyie watto wenu hivyo unakuta unapat kamchezo ukikumbuka unamkono wa sweta unakuwa mpole
Aree wang'u[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wajifya Munyampaa
Kuna msukuma mmoja, wakati mimi nikiwa O-level yeye alikuwa A-level.
Alikuwa hajatahiriwa, shule ya Boarding tulikuwa tunashare mabafu ambapo tunaoga watu wengi kwa pamoja.
Yeye alikuwa anaoga usiku tu kisa anaogopa maana hajatahiriwa. Alikuwa anapata tabu sana kutime hiyo mida ili akaoge maana watu walipogundua wakawa wanamlia timing ili wamuone[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha dahh mwenyew nilipata tabu sana sema mm nilikubaliana na hali karibia shule nzma walikuw wanajua
Hiyo ni kazi yake hawezi kukataa maamuzi yako mzazi, japo anaweza kukushauriKama ndivyo, mbona huwa wanatairi mtoto wa umri wowote ukimpeleka?
Siku 8 na above toka azaliwe maana misuri inakuwa bado miteta pia upona haraka kidondaWajifya Munyampaa
Umri huo ulitahiriwa hospitali au porini?Tuliotahiriwa tukiwa na miaka 14 tukae pembeni kwanza
Miaka 18 ni mingi sana.Yes nilijipeleka mwenyewe, wale wanataka mpaka uwe na 18, nakumbuka nilivaa kaptula ya Jezi so ilikuwa laini nilivaa kwenda na kurudi na wakati wote wa kuuguza, nilienda natembea na nikarudi natembea haikuwa mbali ni kama km 2 ganzi ilianza kukata nafika nyumbani.