Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Wakuu, hasa wenye vijana wa kiume. Ni umri upi sahihi wa kumtahiri mtoto wa kiume? Miezi sita inafaa?
Tayiri akifisha angalau umri wa miaka 7,, kutairi/kukata ngozi ya juu ya uume ni mojawapo inayozuia ukuaji wa uume,, so uume kuwa mfupi,, ndo maana wengi wa wamasai na wakurya hawana uume fupi,, be careful na mtoto,,
 
Mimi nilitahiriwa nikiwa na miaka 16 niko form three. Unatahiriwa na kisu bila ganzi umesimama , hauruhusiwi hata kutikisa kope za macho. Duh hamna kushonwa wala nini.
 
Miaka 15 hadi 17 ndio umri mzuri wa kumtahiri mtu. Japo shemeji zangu wasukuma wanakwenda hadi miaka 40. Wajaluo ba wanyakyusa hata 50 years.
 
Wangu nilimtahiri akiwa na miaka 2, hajawahi kusahau hili suala, mimi nikiwa miaka 12
 
Ulionea wap mashine yake?? Tena mtu mzima??
Mkuu usivunge kuwa muwaz tuu ulionaje hiyo mboo ya mwenzako?
mbona mnakuza mambo au nyie wa mjini mbona huku kujijini watu tunaoga mtoni fresh tu na ikifika mchana au jioni mtoni watu shazi wanakuja kuoga na tunajumuika watu wa rika mbalimbali as long as wote ni wanaume
 
Ukitahiri ukiwa mtu mzima lazima ushonwe na nyuzi na hii iko na maumivu sana maana uume lazima kuna wakati usimame na kusababisha nyuzi kuvuta, watoto wachanga hawashonwi na wanapona haraka sana kulinganisha na watu wazima
Mkuu hebu nifafanulie hapo kidogo. Kuna wa kwangu nilimtahiri akiwa na miezi mitatu lakini walimshona.

Nikaona kama wanamuumiza sana. Mwingine naogopa hata kumpeleka kwa yule daktari na naona bora ukue kwanza .
 
Mkuuu kwa miaka hiyo mtahiri tu haina madhara.Mm mama yangu aliniambi nilitahiriwa nikiwa na wiki moja,lakini leo hii mashine yangu naiyamini hatari make anarjichanganya tu anaomba poo.
 
Mkuuu kwa miaka hiyo mtahiri tu haina madhara.Mm mama yangu aliniambi nilitahiriwa nikiwa na wiki moja,lakini leo hii mashine yangu naiyamini hatari make anarjichanganya tu anaomba poo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa nini umkate? Child abuse
Hahaha, kidini: Yesu kakata,Muhamad kakata
Kisayansi:,utafiti unasema inasaidia kuondoa magonjwa ya zinaa

Kiuhalisia:Walioonja zote mbili yaani ya kutahiriwa na isiyotahiriwa wanasema ya kumenya tabu zaidi..
 
Ulionea wap mashine yake? Tena mtu mzima?
Mkuu usivunge kuwa muwaz tuu ulionaje hiyo mboo ya mwenzako?
Kijana wangu au kijana mwenzako, but kama mzazi wako hana tabia ya kujua maendeleo yaa mwili/afya basi endelea hivyo hivyo unavyokuzwa.
 
Back
Top Bottom