Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
😂😂😂😂akue kidogo afike miaka 7+,umpeleke kijijini kwenu akatahiriwe bila ganzi😀 ndio uanaume wenyewe huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂akue kidogo afike miaka 7+,umpeleke kijijini kwenu akatahiriwe bila ganzi😀 ndio uanaume wenyewe huo.
Ndio.. Mi wa kwangu ana mwaka na miezi kadhaa, kila asbh lazima ifanye kama mshale wa sekunde...Kumbe na watoto wanasimamisha![emoji849]
Tayiri akifisha angalau umri wa miaka 7,, kutairi/kukata ngozi ya juu ya uume ni mojawapo inayozuia ukuaji wa uume,, so uume kuwa mfupi,, ndo maana wengi wa wamasai na wakurya hawana uume fupi,, be careful na mtoto,,Wakuu, hasa wenye vijana wa kiume. Ni umri upi sahihi wa kumtahiri mtoto wa kiume? Miezi sita inafaa?
Hii comment sikutegemea kama ingeandikwa na mtu kama weweKwani Kigogo wa Twitter anasemaje juu ya hili?
mbona mnakuza mambo au nyie wa mjini mbona huku kujijini watu tunaoga mtoni fresh tu na ikifika mchana au jioni mtoni watu shazi wanakuja kuoga na tunajumuika watu wa rika mbalimbali as long as wote ni wanaumeUlionea wap mashine yake?? Tena mtu mzima??
Mkuu usivunge kuwa muwaz tuu ulionaje hiyo mboo ya mwenzako?
Mkuu hebu nifafanulie hapo kidogo. Kuna wa kwangu nilimtahiri akiwa na miezi mitatu lakini walimshona.Ukitahiri ukiwa mtu mzima lazima ushonwe na nyuzi na hii iko na maumivu sana maana uume lazima kuna wakati usimame na kusababisha nyuzi kuvuta, watoto wachanga hawashonwi na wanapona haraka sana kulinganisha na watu wazima
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuuu kwa miaka hiyo mtahiri tu haina madhara.Mm mama yangu aliniambi nilitahiriwa nikiwa na wiki moja,lakini leo hii mashine yangu naiyamini hatari make anarjichanganya tu anaomba poo.
[emoji134]Miaka 15 hadi 17 ndio umri mzuri wa kumtahiri mtu. Japo shemeji zangu wasukuma wanakwenda hadi miaka 40. Wajaluo ba wanyakyusa hata 50 years.
Hahaha, kidini: Yesu kakata,Muhamad kakataKwa nini umkate? Child abuse
Kijana wangu au kijana mwenzako, but kama mzazi wako hana tabia ya kujua maendeleo yaa mwili/afya basi endelea hivyo hivyo unavyokuzwa.Ulionea wap mashine yake? Tena mtu mzima?
Mkuu usivunge kuwa muwaz tuu ulionaje hiyo mboo ya mwenzako?