Kwa hiyo ukaona kuiga avatar na jina la MK254 haitoshi, ukaamua kuiga na jinga wake wote!!
Si uhamie na kenya kabisa sasa tujue moja!
Hakika nimeamini kuna vijana wapuuzi sana katika hii nchini.
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Waambie tuu kwamba dealth or our land full stopUmoja wa Mataifa (UN) umedai kuwa umejulishwa na Jeshi la Israel kuwa Wakazi wa Gaza Kaskazini wanatakiwa kuwa wameondoka eneo hilo ndani ya Saa 24.
UN imesema jambo hilo ni gumu kutekelezeka kwa kuwa idadi hiyo ni nusu ya watu wote waliopo Gaza.
Israel imekuwa ikijiandaa kwa mashambulizi ya ardhini, kukusanya Wanajeshi, mizinga na vifaru kwenye mpaka wa Gaza na kujibu mashambulizi ya anga kuelekea Gaza kwa siku kadhaa zilizopita wakijibu kile kilichofanywa na Wanamgambo wa Hamas kwa kufanya mashambulizi ya kushtukiza.
######
Israel wants 1.1 million people in north Gaza to leave in next 24 hours - UN
The Israeli military has told the UN that everyone living north of Wadi Gaza should relocate to southern Gaza in the next 24 hours, says a UN spokesperson.
The UN says this amounts to approximately 1.1 million people - about half the population of the entire Gaza Strip.
The affected area includes densely populated Gaza City.
The alert was given just before midnight, Gaza and Jerusalem time (23:00 GMT).
"The United Nations considers it impossible for such a movement to take place without devastating humanitarian consequences," the UN said in a statement.
Israel has been preparing for a ground offensive, gathering soldiers, heavy artillery and tanks on the border of Gaza. It has been launching airstrikes on Gaza since Saturday after Hamas militants' surprise attack on Israel.
Source BBC
Watoto wa isaka hawataki ujinga tena🔥🔥🔥🔥 mzaliwa wa kwanza kavurugwa madogo lazima watimue mbio
kwan wao wanataka waisrael waondoke waend wap?SWALI SIMPLE: WAONDOKE WAENDE WAPI?
sio pengine , wakakae huko huko maana hao ndo wamewaponzaPengine Misri,Jordan au Lebanon wakakae huko kwa muda kupisha hii vita
kwann warud wkt wao walitaka wayaudi wasirud kwaoFor sure, Wakilogwa wakaenda huko, katu Israel hataruhusu warudi tena
mbona kama waarab hawa?Picha jeshi la Israel (IDF)
Whats up with the diapers?View attachment 2780568
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Watoto wa mama mdogo Hajra wanalo awamu hii🔥🔥🔥🔥 mzaliwa wa kwanza kavurugwa madogo lazima watimue mbio
kipind wana ardhi yao kwanb hawakufanya ivyo , walijishindwa jitawala wakatamani na waisrael pia wawe kama wao , sasa waisrael wakaona kuwapokonya hiyo ardhi yao maana ilikuwa inawapa kiburi"The only way out of the vicious circle of the Palestinian-Israeli conflict is the creation of an independent Palestinian state.”
Anasema raisi Xi.
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
wapalestina wameyakanyagaKwamba Israel alijua wananchi wake wata uwawa ila akaamua wakae kimya?
wanajiona wajuaji acha yawakuteKutokea Gaza kasikazini kwenda kusini sio mbali kihivyo.Wagaza wanaweza kwenda Hata kwa miguu,ni kama umbali wa kutoka Kariakoo kuelekea kimara ,Mbezi au kibaha Fulani hivi.Wangeanza mdogomdogo kuondoka [emoji848]
Ni kawaida Sana raia kutolewa kafara kwenye mambo kama hayaKwamba Israel alijua wananchi wake wata uwawa ila akaamua wakae kimya?
hakuna cha kusikitisha hapo , walipewa uhuru wa kuwa na serikali yao na wangetulia bas leo wangekuwa wanaelekea kutambulika kimataifa ila ujinga wao wa kuongozwa na wajinga ndo umewafikisha hapa , ujinga huu huu kama waafrika kusini wangekuwa nao ule mwaka 1994 basi yangewakuta kana haya , huez tumia nguvu kwenye kila kituInasikitisha sana...
Waachie nchi ya watuSWALI SIMPLE: WAONDOKE WAENDE WAPI?
Bas Israel ni majiniaz, mtego wao umenasa, sasa ni mwendo wa kuitamalaki nchi yao waliyopewa na Bwana!!!Walikosea wenyewe kuruhusu Hamas wawaingilie.
Na ndo maana nasema Israel alijua mipango ya Hamas akaamua aiache kama ilivyo
Jiulize tu Israel angetumia mbinu gani kuwaondoa kama sio kuruhusu aumie kwanza?Hili linawezekana mkuu.
Wengine washaondoka mapema maana wanajua Israel huwa hataniiKwenye vita mtu akikupa masaa 24 wakati amekusaidia sana ila tatizo watu wa gaza wao wanajua ni utani
Unadhani njia ipi ingetumika kuimaliza Gaza kama sio kuruhusu uumizwe?Kwamba Israel alijua wananchi wake wata uwawa ila akaamua wakae kimya?