UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

Hamas ndio shida. Yeye hataki two state solutions, Bali anataka Israel isiwepo kwenye uso wa Dunia.
Hao wavaa vipedo na makobazi Wana akili ndogo Sana.Kuna jitihada kadhaa zilifanyika kuifuta jamii ya wayahudi toka zamani lakini ilishindikana.Kuna Haman , kipindi cha kitabu cha Ester kwenye bible, Haman aliishia kunyongwa yeye, Wayahudi wakanusurika.Waroma kipindi cha Yesu walifukuza Wayahudi wakakimbilia Ulaya na nchi zingine.Hitler aliua wayahudi wengi Sana ulaya "Holocaust". Sasa Hivi Iran na proxies zake,Hesbollah na Hamas wana mpango huo pia.Hii Historia ya Haman wa kipindi kile alitokea Persia ambayo ndio Iran ya Leo, Ayotollars 🤔
 
wana bahati sana hawa wamepewa na muda kabisa tena siku nzimaaaa wanataka nini tena aisee Israel wana upendo sana ndo maana Mungu amewabariki na anazidi kuwabariki

Halafu nimegundua kumbe Israel kabla hajaishambulia Gaza huwa anatoa taarifa. Hii nimeipata kwenye Aljazeera, raia wa Gaza walikuwa wanalalamika kuwa Israel anawaashambulia bila kuwapa taarifa Kama anavyofanya. Na wenyewe wanashangaa.
 

Shida ni Hamas Hawa ndio walimuingiza kingi Arafat. Watu wamesign Oslo Accords, halafu wanakuja kuyavunja kijinga.
 
Halafu nimegundua kumbe Israel kabla hajaishambulia Gaza huwa anatoa taarifa. Hii nimeipata kwenye Aljazeera, raia wa Gaza walikuwa wanalalamika kuwa Israel anawaashambulia bila kuwapa taarifa Kama anavyofanya. Na wenyewe wanashangaa.
Zile nyumba kabla ya kupigwa bomu na ndege za Israeli,wanapigiwa simu na kutumiwa meseji,Halafu zinagongwa juu kabla ya live fire, ambayo inashambulia baada ya dakika kadhaa.Kama ni kukimbia watakuwa wameshakimbia mbali.Sema waarabu ni wabishi tu,kufa kwao Sio issue🤔
 

Hamas ndio Tatizo. Wale Fatah mbona hawana shida. Maana wao wanaiamini kwenye two state solutions. Makao makuu ya Israel yawe Jerusalem Magharibi na makao makuu ya Palestine yawe Jerusalem mashariki. Sasa hamas wanataka Jerusalem yote na hawataki Israel iwepo.
 

Nusu ya Gaza itachukuliwa na Israel. Maana wapalestina wameanza kukimbia.
 

Ndio maana kawaambia raia waondoke pale ili wapigane vizuri. Shida ya Hamas wanajichanganya na Raia
 
Hamas hii hii inayotafuta huruma za UN na kulialia kuhusu haki za binadamu baada ya kupokea kipigo ndio itaishinda Israel?
 
Wamewaambia waendelee North Gaza. Nadhani hiyo south yote itakuwa Chini ya Israel.
Sio kweli. Bali watu wote waliopo Kaskazini mwa Gaza(North Gaza) ambapo ndipo Israel inapakana na nchi ya Lebanon wameamriwa wahamie kusini mwa Gaza(Southern Gaza) ambapo ndio Israel inapakana na nchi ya Misri.
 
Israel kwa sasa hataka hayo yatokee ndo maana katumia sana Airforce
Anakumbukumbu nzuri kuhusu Gaza 2016
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…