Magufuli Magufuli Magufuli Dr.JPM
Mbona unachelewa kujenga....kuanza Mradi wa Stiegliers gorge Baba Agggrrr....wazungu Wengi hawapendi huu Mradi....wanataka tuendelee kuwakopa hela....
Makampuni ya Ulaya ya Aggreko,Songas,Moore&Prom inawezekana kabisa Wakatumia nguvu zooooote Mradi huu Ushindwe...coz Maslahi yao ya Gas,jaman Pitia JF baba usome
Kamwe USIRUDI NYUMA,UKIUACHA TUU HUU MRADI JUA UCHUMI WA VIWANDA KWISHNEY NA MITAJI YA HELA TUTAWATEGEMEA WAZUNGU MPAKA TUFE...
STIEGLIERS GORGE NDO ITALETA KITU TUNAITA "MULTIPLIERS EFFECTS" KATIKA UCHUMI.
Eti mwanasiasa.... Nachosema tuwe na vipaumbele maana nchi yetu ni maskini nmetoa mfano kwani umeme wa gesi ya mtwara na lindi si mlisema inaweza kumaliza shida ya umeme tena tukauza hadi DRC ama sio professor muhongo aliosema haya ????Mtu kama wewe ungekuwa ni mkutano wa kujiandikisha washiriki, nina hakika tusingekuwa chumba kimoja. Maelezo na maoni kama haya yanatakiwa yatolewe na mwanasiasa mwenye lengo la kudanganya wapiga kura. Mtendaji huwezi kutumia lugha ya kusema, mfano kilimo na uvuvi nk. ....
Ni kilimo gani kisichotegemea mvua ambacho hakihitaji umeme? Uvuvi gani wa maana usiotegemea umeme? Suala la umeme wa gesi haizuii kuwa na umeme wa maji. Duniani nani ana gesi kuliko Russia? Je umesikia wakiacha nuklia eti kwa sababu wana gesi? Afrika kusini walitumia nuklia kwa miaka mingi bila umeme wa maji je, kwa nini sasa hivi wamerudi kwenye maji?
Tutoe mawazo ya kiufahamu badala ya lugha ya wanaoomba kura.
Un hawataki tuwe na umeme wetu.Ttehe tehe tehe.
Mbona ulaya imetapakaa vinu vya nyukilia na viwanda vinavyotoa moshi unaoharibu mazingira hawasemi kitu
Tatizo hakuna vision kama taifa. Subiri after 5 years slogan itabadilika. Hivi naweza kupata wapi andiko la Tanzania ya viwanda yaani a written proposal yenye objectives na strategy of how to achieve goalsYeah MLISEMA maana nachukulia wwe mtoa taarifa umechukua upande wa serikali kwenye kutetea mradi wa Stiegler's.... Hivyo serikali hiyo hiyo ambayo leo inasema SG ndio habari ya mujini ilisema miaka 4 iliopita kwamba Gesi ndio suluhu la nishati ya umeme hapa TZ hivyo nashangaa badala nyie wasomi mhoji hizo ahadi za gesi kama zimefikia malengo ndio kwanza mnatuminisha tena kwamba SG ndio mradi wa kumaliza shida ya umeme.... Hivi hizi ahadi mpaka lini?? Wasomi tunawategemea muhoji ndio kwanza mnasupport huu ujinga wa SG
Huoni tuna miradi mingi inahitaji funding hasa ya maji vijijini ama ya kilimo cha umwagiliaji au hata kuongeza ndege kwa ajili ya ATCL..... We have a way lot than switching lanes every now on then be it from hydro to coal to gas.... And then guess what!! We are talkin about hydro again???
Duh kazi ipo
Uko “radicalized” na hujui UN. Soma charter za UN zote kila kitu kinachoamliwa hupigiwa kura.View attachment 701335
Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.
Huu ni uhujumu, full stop!
UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair, lakini ujumbe huo ni lazima unatoka nchi zinazofaidika na matatizo yetu ya nishati.
Kampuni za kimarekani kama AGGREKO, DOWANS na nyingine nyingi ni wazi zisingependa kuona mradi huu wa Stieglers Gorge ukifanikiwa, maana watakosa ulaji wanaofaidika nao leo.
Kama ingewapendeza UN, basi Three Gorges Dam ya China, Aswan Dam ya Misri, Akosombo Dam ya Ghana vyote visingejengwa kwa sababu za kimazingira.
Nampongeza sana Rais Magufuli na kumpa moyo kushika moyo ule ule , ili nchi ijitawale kinishati.
Kajengeni vyoo na Madawati kwanza
Mkuu Nafikiri hunijui wewe,wewe akili yako inawaza Siasa Na Maandamano tuuu.Mh!Naona nyota ya kuliwa kisiasa inazidi kung’ara kichwani kwako.
Hawa watu tuachane nao,tufanye what is best for us.Wana agenda nyingi mno za siri ambazo ni very detrimental to our nation's sovereignty.Seychelles wamewaingizwa kwenye Debt for Nature Conservation Swap Deal ambayo sidhani kama in the long run italinda sovereignty yao.Time will tell.View attachment 701335
Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.
Huu ni uhujumu, full stop!
UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair, lakini ujumbe huo ni lazima unatoka nchi zinazofaidika na matatizo yetu ya nishati.
Kampuni za kimarekani kama AGGREKO, DOWANS na nyingine nyingi ni wazi zisingependa kuona mradi huu wa Stieglers Gorge ukifanikiwa, maana watakosa ulaji wanaofaidika nao leo.
Kama ingewapendeza UN, basi Three Gorges Dam ya China, Aswan Dam ya Misri, Akosombo Dam ya Ghana vyote visingejengwa kwa sababu za kimazingira.
Nampongeza sana Rais Magufuli na kumpa moyo kushika moyo ule ule , ili nchi ijitawale kinishati.
Kwa bandiko lako ni dhahiri you are the idiotic bigot.Uko “radicalized” na hujui UN. Soma charter za UN zote kila kitu kinachoamliwa hupigiwa kura.
Halafu mko wengi “brainwashed na radicalized “ ati Tanzania inaonewa wivu au kuna watu waiombea mabaya iharibikiwe, hapana. Watu kama nyie mngekuwa elimu ili muwlimishwe mjue information na knowledge kuwa opportunity na vinaweza kukomboa akili zenu. Education can lliberate your mind and information creates opportunities.
Kwa taarifa yako: Tanzania trade wise na inacho export ni negligible (labda aids).
Zaidi Ueleweshwe: Three Gorges au San Xia ni mradi uliopingwa sana na UN. Madhara ambayo waliyapata China na hata wanayoyapata Sasa hivi ni makubwa. Kila mwaka vijiji vilivyo chini ya Sanxia huwa vinakumbwa na mafuriko kila mwaka. Uhamishaji wa watu kila mwaka.
Kibaya zaidi lile bwawa la Sanxia uimarishwa kila wakati. Na ni fedha nyingi hutumika.
Good news ni kuwa wachina wabishi ( sawa) walitumia fedha zao.
Nyie vibaraka ndiyo mnaharibu kila kitu. Hamna elimu; kazi yenu kusoma ilani na fikra za nwenyekiti na kuropoka.
Hii nchi ingeendelea sana kama watu kama nyie mngedai elimu kwanza!
CCM ndiyo kipenzi Chenu maana ndiyo ukomo wa elimu zenu!!
Bigots !!!!!!!!!!!!!!!!
Wapuuzi kama wewe msioona mbali ndiyo mnawaambukiza wenzenu ujinga, wewe unaona ujiko na kucheka jinsi unavyo ongea upuuzi ila kuna nduguzo wasiojitambua wanaona wewe ndo msema ukweli wakati ni mpuuzi tu.Nchi zilizo endelea hazitaki kamwe kuona Africa inapiga hatua kwa sababu wengi wao wanafaidika na matatizo yetu.
View attachment 701335
Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.
Huu ni uhujumu, full stop!
UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair, lakini ujumbe huo ni lazima unatoka nchi zinazofaidika na matatizo yetu ya nishati.
Kampuni za kimarekani kama AGGREKO, DOWANS na nyingine nyingi ni wazi zisingependa kuona mradi huu wa Stieglers Gorge ukifanikiwa, maana watakosa ulaji wanaofaidika nao leo.
Kama ingewapendeza UN, basi Three Gorges Dam ya China, Aswan Dam ya Misri, Akosombo Dam ya Ghana vyote visingejengwa kwa sababu za kimazingira.
Nampongeza sana Rais Magufuli na kumpa moyo kushika moyo ule ule , ili nchi ijitawale kinishati.
View attachment 701335
Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.
Huu ni uhujumu, full stop!
UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair, lakini ujumbe huo ni lazima unatoka nchi zinazofaidika na matatizo yetu ya nishati.
Kampuni za kimarekani kama AGGREKO, DOWANS na nyingine nyingi ni wazi zisingependa kuona mradi huu wa Stieglers Gorge ukifanikiwa, maana watakosa ulaji wanaofaidika nao leo.
Kama ingewapendeza UN, basi Three Gorges Dam ya China, Aswan Dam ya Misri, Akosombo Dam ya Ghana vyote visingejengwa kwa sababu za kimazingira.
Nampongeza sana Rais Magufuli na kumpa moyo kushika moyo ule ule , ili nchi ijitawale kinishati.
Ujinga wako wa kwanza ni huu: UN ilikataa kuwapiga Iraq. America ilipiga Iraq kwa Unirateral decision. Yeye USA siyo UN. Dunia yote ilikaataa. Hiyo tu umethibitisha kuwa unakurupuka.Kwa bandiko lako ni dhahiri you are the idiotic bigot.
Tatizo lako lingine ni kuingiza siasa kwenye mambo ya kutumia akili yenye uzalendo.
UN ikikupigia kura upigwe kwa sababu za kijinga kama alivyopigwa Saddam, utashangilia kama kima aliye pewa ndizi mbivu!
Tanzania ni zaidi ya ujuavyo, hatuna haja ya kuamuiwa mambo yetu ya maendeleo na mtu yeyote.
Ukiwapenda UN nenda kawasafishie vyoo!
Thats your worth.