ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Swala la vilaza sio Tzn tuu ni Africa yoteKwa matokeo haya una maoni gani?
Shule ipo Jijini Dar es Salam na siyo Nachingwea.
View attachment 2869779
Matokeo ni direction tu, hakuna cha ziada. Kila mtahiniwa hapo anapaswa kutafakari uelekeo wa nini afanye kulingana na Matokeo yake.Kwa matokeo haya una maoni gani?
Shule ipo Jijini Dar es Salam na siyo Nachingwea.
View attachment 2869779
Umemaliza kila kitu.Daslam kusoma day ni changamoto sana maana naona watoto wanapata tabu sana katika usafiri,
Shuguli za utafutaji zinafanya wazazi wanashindwa kuwajibika vizuri katika kusimamia watoto wao....
Tatu waalimu wapo busy na mishe msihe ili waweze kuendana na hali halisi ya maisha dar es salam
wingi wa viburudisho na sehemu za starehe kuongeza vishawishi kwa wanafunzi
Etc....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shule inaitwa Diplomasia?
Labda tatizo limeanzia hapo! Inawezekana waliendekeza sana Diplomasia wakasahau kuwa wakati mwingine "kakiboko" humsaidia mtoto kukaa kwenye njia sahihi.
Na mbunge anahusikajee??Acha ushamba rais anahusikaje???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa huyo mwl wa Phy, kidato cha tatu anaenda fundisha kina nani maana wote wamepata F[emoji1]
Ni mateso kwa kweli.Wanafunzi wa Dar wa day mpaka wamalize kusoma wamechoka sana, saa moja usiku unakuta wanafunzi bado wanazunguka vituo vya daladala... Asubuhi wanatakiwa kuwahi tena shule ni kasheshe sana.
Tena sio uongo, unakuta boda au bajaj anazurura na mwanafunzi kutwa nzima.sasa hili ndio chanzo kikubwa cha mimba haswa kwa jinsia KE.
bodaboda na bajaji ndio wanageuza hao watoto kuwa wake zao,
Subaana wa taalaShule yenyewe ni ya wavaa makobasi! Elimu dunia sio kipaumbele! Mnawalazimisha! Wana wa mnyaaazi mungu!
Umeamua tu kukataa ila hii ni sababu tena changamoto.Kuhusu changamoto za usafiri sio sababu za MTU kupata four au zero
Hiyo shule 70% ya wanafunzi wanaishi maeneo Karibu na shule.Umeamua tu kukataa ila hii ni sababu tena changamoto.
Watoto mpka saa3 asubuhi hakuna gari inayotaka kuwabeba anafika shule kachoka muda umeenda.
Anarudi home saa1 usiku anafika anakutana na kazi akimaliza kula kulala.
Kuna namna serikali inabidi kuangalia kutatua suala zima la usafiri hasa watoto wanaotumia daladala kidogo kwenye treni wana afadhali maana wapo na mabehewa special.
Kinachofanyika baada ya mwanafunzi kuona usafiri mgumu ndio hutokea vijana haswa bodaboda au tu kijana atampa pesa ya kupanda usafiri siku zikienda tu mtoto wa kike anajiingiza kwenye mapenzi na mimba zisizotarajiwa.
Unafahamu unachokiongea au wafurahisha genge tu hapa?Hiyo shule 70% ya wanafunzi wanaishi maeneo Karibu na shule.
Upo sahihi🙌🏽🙌🏽Unafahamu unachokiongea au wafurahisha genge tu hapa?
Hiyo shule asilimia 98/9 ya wanafunzi wa pale wanaishi nje ya Kurasini. Hawa anzia kwa Aziz Ali ambao bado ni wachache mno wanaoishi hapo, kuendelea mpaka Kisemvule.
Hii shule kimsingi, mazingira ya ile shule ni magumu mno kuanzia kwa walimu wenyewe mpaka wanafunzi. Shule hii unakuta wana mikondo mpaka 7 au 8 na kila darasa unakuta lina wanafunzi 100+ na walimu ni wachache mnooo! Hili la uvutaji bangi kwa wanafunzi na vurugu za hapa na pale ni kiasi kidogo mnoo ila kiuhalisia serikali yatakiwa kujifumua mifumo yake ijidhatiti kwenye elimu.
Kuna mdau kazungumza swala la usafiri, ninamuunga mkono kwa asilimia zote zitakiwazo, wanafunzi wa hii shule na ile ya Uhamiaji majirani zao utawakuta wako mtaani saa 2.30 asubuh au wanakula mihogo kwa wauza mihogo mazingira ya jirani na eneo la shule wakiwa wanategea muda wa break waingie darasani. Mara kadhaa nimekuwa nikizungumza nao hawa watoto kutaka kujua kinachowachelewesha, sababu zao zimekuwa ni moja, TAABU YA USAFIRI UNCLE. Ukiwa unaufahamu mtiti wa usafiri wa Mbagala na viunga vyake kwa asubuhi na jioni utanielewa, na kibaya zaidi wazazi wa wilaya ya Temeke huwa sio rahisi kugombelezea wanafunzi kwa makondakta wafike shule mapema tofauti na wazazi wa huu upande wa Kinondoni na Ilala
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kyummer weShule yenyewe ni ya wavaa makobasi! Elimu dunia sio kipaumbele! Mnawalazimisha! Wana wa mnyaaazi mungu!