Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

kama uko huru simu yako itumike na mwenzi au watoto basi haina shida yoyote.
 
Ahahah ana funguaje na face lock au passwrd
Inafunguliwa na sura yangu hiyo labda mtu aniotee nikiwa nimelala alengeshe usoni na haitoweza kufunguka kama macho yamefungwa

Wewe simu yako ipo salama mkuu?hautoharibu Cv mtu akishika
 
Inafunguliwa na sura yangu hiyo labda mtu aniotee nikiwa nimelala alengeshe usoni na haitoweza kufunguka kama macho yamefungwa

Wewe simu yako ipo salama mkuu?hautoharibu Cv mtu akishika
Ni mwendo wa hapa tu

Af kuna watu simu zao na zijua passwrd ila yangu hakuna anae jua na sitaki kumpa mtu ashike zaidi ya dikika 2 pia kuna style nimeweka ukiomba simu unataka kupiga kabla sijakupa naweka lock huendi popote zaidi ya hapo hapo
 
Savage πŸ˜‚πŸ˜€
 
Miaka 80 duhh!! Mbali sana hapo lazima upate laana πŸ™ŒπŸ˜πŸ˜

Kwanza ngozi yake yenyewe Unakuta imesinyaa mhh!!! Hapana Aisee
No namaanisha amezaliwa 80
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…