Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Ila wee kichaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jau yaan mtu una nena kabisa af kesho una kutwa na skendooo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sikimya kimya kwani mkipeana mta watangazia watu !? Hakuna Msafi kamili Duniani, wee mle tu
 
Kwamba haya mbona madogo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

If I'm not mistaken hiyo ilishawahi kumkuta Raisi wa South Africa Jacob zouma akiwa ktk kikao Cha Un
 
Yaani wakati una bonyeza hiyo button inatakiwa uwe umeifungua hiyo app sindio !? Na unaitoaje lock !?
Hiyo feature unaiwasha kwanza kwenye settings baada ya hapo ukitaka kuifunga app inabidi uwe umeifungua unabonyeza power button mara tatu inajipiga pin

Kuitoa unabonyeza power button mara mbili inafunguka au unaweza kuitoa kwa passcode yako ya kufungulia simu au face id
 
Simu ni roho ya mtu.kiujumla simu yangu huwa sipendi mtu mwingine yoyote aguse.
Na hasa pale unampa mtu simu aandike no au acheck kitu anaingia mara whatsap, mara insta ni tabia mbovu sana.
 
Okay inaitwaje !?
 
Simu ni roho ya mtu.kiujumla simu yangu huwa sipendi mtu mwingine yoyote aguse.
Na hasa pale unampa mtu simu aandike no au acheck kitu anaingia mara whatsap, mara insta ni tabia mbovu sana.
Kote kote ana pita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…