Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Upo kama mimi master , ukitoa picha za vibonzo sina picha yangu kwenye simu , nilikua nazo mbili nazo nimefuta hata picha za kawaida tu sina hata moja labda passport size tuπŸ˜…
 
Mimi bhana suala la ringtone limenishinda kabisa kuweka hata simu iweje
 
Dada yetu mmoja muislam safi na mshauri mzuri wa maisha. Mshangazi aliyenyooka hataki ujinga.

Siku PC yake imesumbua akaniomba nimsaidie. Aisee dada kajaza porno za kuingilia kinyume na maumbile CP yote. Kila unapofungua unakutana na hayo madude.

Daa. Watu wanavyoonekana na uhalisia sio sahihi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ unakataa ila tunajua ni wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Upo kama mimi master , ukitoa picha za vibonzo sina picha yangu kwenye simu , nilikua nazo mbili nazo nimefuta hata picha za kawaida tu sina hata moja labda passport size tuπŸ˜…
Kwamba upigi picha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we kwanin usingeenda kwenyrle lengo tu
 
SEMA Jambo kaka.
Dah noma sana
Haya mambo ya kupigapiga picha sjui kutumiana,ipo siku tu utajikwaa πŸ˜„
Nishawahi kukaa sehemu na mtu napiga kilaji jamaa yangu akanionesha picha ya mama hakim wa mahakama fulani kamtumia πŸ˜„ ikabidi nimwambie mwamba futa hiyo isije ikatokea siku ukajisahau ukamuaribia huyo mama,sasa kama leo umenionesha mimi kesho si utawaonesha wengine...
Jamaa alinielewa akaifuta hadi kwenye recycle bin akaenda kuifuta
Na nkamwambia mwambie aache kukutumia mapicha,nyie kama mnatafutana mna gongana ,gonganeni mkiwa faragha

Ova
 
Nyumbani varangati uliianzisha ww au wife?
 
Aseeh simu yangu ipo safi mara zote,

Kikubwa zaidi napenda usiri ndani ya simu yangu!!

Kumpa mtu keshafika WhatsApp, mara gallery ndo maana mtu yeyote hagusi simu yangu!

Over
Watu wanatokaga na mapovuu bafuniπŸ₯Ί

Kuwai simuuu... Kuna jamaa humu aliwai kutoa testimony kua Kuna siku alikosea meseji ya mchepuko akatuma kwa WIFE wake.

Anasimulia alikua kurasini AKAOMBA dharura ofsini akaenda home kimara/ mbezii akiwa njiani alikua anaona garii haitembei kabisa akafika home akamkuta wife sebuleni moja kwa moja CHUMBANI akakuta wife hata hajafungua simu/ meseji jamaa akafuta meseji

Siku iyooooo akamtoa wife outing kabisa maana alichanganya madesa ilikua nomaa sanaa
 
Hata hao mipango ya kando Kuna namna mtamzoesha tutumie either WhatsApp au telegram tuu, hakuna normal text akienda kinyume ameisha, πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii akiba ya maneno nimeipenda kwa Sasa issue za kupiga piga picha ni noma Sana.

Watu wenye akili siku zoteee hawapigagi picha ovyo ovyo maana unaweza uka kill your character
 
Hata hao mipango ya kando Kuna namna mtamzoesha tutumie either WhatsApp au telegram tuu, hakuna normal text akienda kinyume ameisha, πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi na simu tatu moja naiacha ofsn kwa ajir ya kazi only Kuna simu mbili ndio huambatana nazo popotee

Kuna simu yangu moja hii wife hupendelea Sana kuishika na huwa ana kipaji Cha kusoma na kuangalia kila kituu

So Jana Kuna ex wangu Mimi na yeye ni soulmate Jana kanicheki kua kanikumbuka na JINSI NILIVYO JUA KUUPELEKA MOYO WAKE MBIO MBIO Haikua bahati maishani tuliachana kila mmoja akiwa anampenda mwenzake..

Tuli chati mengi na tuka ambiana mengi 🀣

Usiku nilipo lala nikamkuta wife na Ile simu yangu anayo ipenda kuitumia huwa haina shida kabisa

Hii ingine angekuta chat zetu ingekua balaa lingine mkuu Niki chati nae nachati kwa taadhari Sana Mimi sipendagi migogoro na wife huwa inaharibu Sana amani ya ndoa.
 
Amani ya ndoa muhimu sana,

Yangu ataiona juu kwa juu aseeh πŸ˜‚

simu zina Siri nyingi zaidi ya cheating
 
Kudadeq......

Mi ilitokea Maza mmoja kanipa simu nimsetie Whatsapp.....ghafla phoenix ikafanya yake ......ukiwaaha data Ina display picha za wadada naked kwenye kioo ......tukabaki tunawalaumu tu wazungu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…