Shukrani sana Aunt yangu tutauzingatia ushauri huu sisi vijana wa 2000.Daah ngumu sana, huyo kazi zake ni informal jobs au zile za kubangaiza. Aje mjini kwa sababu fursa ni nyingi, ila kama inawezekana asitoke kijijini mpaka apate cha kufanya hata kama itakua uhouse boy, awe na pa kuanzia!
Nisamehe bure maana nilivyoandika sijazingatia alama za uandishi!, ila ukiwa ni mjuzi ukisoma vyema ni rahisi mno kunielewa!.Yaani aje mjini na pesa kidogo aanze kuvuta shisha? Sio kweli
Huyu dogo mbona kama aliteseka sana msoto wa kufa mtu mpaka kuja kuweka mambo sawa!Mwambie aje tu ila asiwe na mategemeo makubwa.
Kama huko kijijini amekosa fursa mjini akikaza anaweza kuwa na maisha zaidi na ya kijijini.
Ila mwambie inatakiwa ajitoe hasa asifikirie kabisa starehe za mjini anaweza akatoboa.
Kuna jamaa namjua alikuja mjini na nguo alizovaa tu na malapa kazi yake ya kwanza alipata kwenye mgahawa akawa analala hapohapo mgahawani.
Sasahivi huyo dogo anagoli lake la chips kapanga chumba na ameoa kabisa anaendelea kupambana
Nenda Townana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake
Abaki huko huko huku mjini maisha magumuBinti Sayuni03 ushauri wako
Kama hapendi mbususu Kama wewe atajengaNirahisi kujenga nyumba ukiwa kijijini kuliko mjini....huku misambwanda ya warembo ndio kikengeusha akili nambari wani
U ajidanganya hamnaga mwanaume asiependa mbususu labda awe shoga.Kama hapendi mbususu Kama wewe atajenga
Ila ndege😁😁😁Namwambia kijana asiyavagae maisha kwa pupa kwani kufanya hivyo kutafanya aanze kufanya mambo ambayo hajategemea kuyafanya.
Kijana wangu Chief Godlove aliyavagaga maisha kwa pupa akawa mtu mwenye tamaa hata akaanza kuuza jicho la tatu.
Wahuni humkunja vikali na kumpa chochote kitu halafu chochote kitu anachokipata anakuja kukitumia kuwatambishia vijana Kule TikTok.