Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 935
- 2,553
Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo siku hiyo.
Mdau anaendelea kusema alikuwa akitoa risasi majeruhi na mda mwingine alilazimika kuwamalizia majeruhi hao kwa kuamriwa na polisi.
Kama daktari anasema alikuwa anaumia lakini hakuwa na namna maana kutotii malekezo maana yakr unapotea na wewe.
Ikumbukwe Mwanaharakati Mange aliwahi kusema Dullah Ameingiza kontena la silaha.
Huenda tulimpuuza lakini kama uliona aina ya risasi walizotumia polisi sio risasi wanazotumia kila siku katika bunduki zao.
Mdau anamalizia kwa kusema hakuna siku alijutia kuwa daktari kama siku hizo.
Nawasilisha.