Unaambiwa mauaji ya Oktoba 29 hayakuwa kwa bahati mbaya

Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo siku hiyo.

Mdau anaendelea kusema alikuwa akitoa risasi majeruhi na mda mwingine alilazimika kuwamalizia majeruhi hao kwa kuamriwa na polisi.

Kama daktari anasema alikuwa anaumia lakini hakuwa na namna maana kutotii malekezo maana yakr unapotea na wewe.

Ikumbukwe Mwanaharakati Mange aliwahi kusema Dullah Ameingiza kontena la silaha.
Huenda tulimpuuza lakini kama uliona aina ya risasi walizotumia polisi sio risasi wanazotumia kila siku katika bunduki zao.

Mdau anamalizia kwa kusema hakuna siku alijutia kuwa daktari kama siku hizo.
Nawasilisha.
UONGO

HAKUNA DAKTARI ETI AMEAMBIWA AMMALIZE MGONJWA KWA KUAMBIWA NA POLISI.

NA PRIORITY YA KWANZA KWA MGONJWA ALIYEPIGWA RISASI SI KUITOA, INATOLEWA KAMA KUNA INDICATION YA KUTOLEWA. A PENETRATING BULLET WOUND IS A STERILE WOUND!! HIZO MOVIE ZENU NDO ZINAWAAMBIA RISASI IKIPIGWA CHA KWANZA NI KUITOA

RUDISHA UONGO KWENYE VIJIWE VYENU
 
Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo siku hiyo.

Mdau anaendelea kusema alikuwa akitoa risasi majeruhi na mda mwingine alilazimika kuwamalizia majeruhi hao kwa kuamriwa na polisi.

Kama daktari anasema alikuwa anaumia lakini hakuwa na namna maana kutotii malekezo maana yakr unapotea na wewe.

Ikumbukwe Mwanaharakati Mange aliwahi kusema Dullah Ameingiza kontena la silaha.
Huenda tulimpuuza lakini kama uliona aina ya risasi walizotumia polisi sio risasi wanazotumia kila siku katika bunduki zao.

Mdau anamalizia kwa kusema hakuna siku alijutia kuwa daktari kama siku hizo.
Nawasilisha.
Moyo wangu umeumia sana kiukweli likitokea kundi la uasi dhidi ya serikali Mimi najiunga!
 
Serikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
Kama walishajua na ushahidi wa bila shaka juu ya hilo la kanisa kupanga kupindua serikali. kwanini wasizuie hao watu wa kanisa kwa kuwatia mbaroni kwa mpango wa mapinduzi na badala yake wakaandaa risasi za kuuwa raia ambao hata wengine hawakuhusika na kuandamana na wakiwemo waIslam wenzao kina Sharifu Majini?? Au serikali ilihisi bila uthibitisho wowote kuhusu mapinduzi?
 
Serikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
Nimerudi kusoma mara4 sijatoka na kitu
 
Walikuwa wanapigwa sindano za sumu kwenye drip usiniulize nimembiwa na nani polisi wamelaaniwa asee
 
Serikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
Kichaka chenu kinawaka moto mdogo mdogo na soon utajua maana na thamani ya damu ya mwanadamu, kwamba hakipo kiwanda popote dunia hii cha kutengeneza damu isipokuwa yeye anayeijua thamani ya bidhaa yake ...mlizoea kunyonga sasa tulia mletewe vya kuchinja
 
Maandamano Yeyote Siku ya Uchaguzi Mkuu, Ni jaribio la Mapinduzi. Expect strong Resistance from those seeking power.

Nilijua kama kutakua na hichi kitu, lkn sio kwa Ukubwa ule na what watake kufanya like nothing happened vile.

Watu wabaya nyie
 
Serikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
Kama kanisa lililatibu maandamano wale waislamu waliokuwa na KANZU walilatibiwa na nani?
 
Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo siku hiyo.

Mdau anaendelea kusema alikuwa akitoa risasi majeruhi na mda mwingine alilazimika kuwamalizia majeruhi hao kwa kuamriwa na polisi.

Kama daktari anasema alikuwa anaumia lakini hakuwa na namna maana kutotii malekezo maana yakr unapotea na wewe.

Ikumbukwe Mwanaharakati Mange aliwahi kusema Dullah Ameingiza kontena la silaha.
Huenda tulimpuuza lakini kama uliona aina ya risasi walizotumia polisi sio risasi wanazotumia kila siku katika bunduki zao.

Mdau anamalizia kwa kusema hakuna siku alijutia kuwa daktari kama siku hizo.
Nawasilisha.
Ifikie wakati watu kama hawa wajitokeze na wawe mashuhuda (mashaidi) wa unyama uliotendwa na Samia

Ushahidi uwe documented. Lazima ieleweke kuwa, mauaji ya 29/10 - 3/11/2025 yalipangwa kwa makusudi. Hayakufanyika kwa bahati mbaya, Samia alidhamiria kuua. Lazima awajibike kisiasa na kisheria
 
Serikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
Kuhusu Abdul kuingiza silaha hilo halina ubishi. Ifahamike kwa sasa bandari ni mali ya mafisadi hivyo hilo lilikuwa rahisi. Kama wapiga kura hawakufika hata milioni kumi nchi nzima na bado wakathubutu kujitangaza kwa kura 31m, ni kipi kiliwafanya wajiamini hivyo kama sio hizo silaha alizoingiza Abdul?
 
Serikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
Dodoma alikojiandikisha hakuna Kanisa alilolikimbia Dar ?

Serikali kama ilijua kuna mapinduzi yanapangwa na Kanisa mbona hakuna Kiongozi wa Kabisa aliyekamatwa kabla ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom