gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
*RatibuKuhusu Abdul kuingiza silaha hilo halina ubishi. Ifahamike kwa sasa bandari ni mali ya mafisadi hivyo hilo lilikuwa rahisi. Kama wapiga kura hawakufika hata milioni kumi nchi nzima na bado wakathubutu kujitangaza kwa kura 31m, ni kipi kiliwafanya wajiamini hivyo kama sio hizo silaha alizoingiza Abdul?
Kuandika hujui,akili huna!
Kama kanisa lililatibu maandamano wale waislamu waliokuwa na KANZU walilatibiwa na nani