gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hukuona miundombinu ilivyochomwa, hukuona mali zikiibwa, hukuona polisi wakiuawa,wapiga kura wakiumizwa, hukuona wakisema wataandama hadi rais aondoke(mapinduzi)?..mngekaa ndani hakuna ambaye angeumizwaHukuona watu walivyopigwaa risasi? Hukuona watu walivyouliwa wakiwa majumbani mwao..kuna mambo mengine unatakiwa unyamaze kimyaa kama unaogopa kupoteza hadhi ya uchawa..mbona machawa wengine wamenyamaza baada ya kuona ukatili mkubwa namna ile? Uhai wa mtu ni wa muhimu kuliko kitu chochote kile. Bichwa limejaaa earth worms