Hapa umeongea nini hata ujui unachokiongelea we ndo akili hakunaSerikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
*HujuiHapa umeongea nini hata ujui unachokiongelea we ndo akili hakuna
You are in ignored list. You are done and dusted. Kuona comments za mipumbavu kama wewe ni kujipunguzia siku za kuishiSerikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
We siyo wa kwanza,na sijapata upele wala kupoteza senti kisa ignoreYou are in ignored list. You are done and dusted. Kuona comments za mipumbavu kama wewe ni kujipunguzia siku za kuishi
Mijitu kama wewe ndiyo imeshusha hadhi ya JF siku hizi imekuwa kama FB sasa hajui kitu na hujaeleza unachokijuaHapa umeongea nini hata ujui unachokiongelea we ndo akili hakuna
Tuondolee upumbavu wako hapa..kila mada kuhusu mauaji na unyama wa hii serikali unaingia kama maviiSerikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
Mwelezi huyu Madau afikishe haya maelezo kwenye tume ya uchunguzi wa matukio ya October 29.Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo siku hiyo.
Mdau anaendelea kusema alikuwa akitoa risasi majeruhi na mda mwingine alilazimika kuwamalizia majeruhi hao kwa kuamriwa na polisi.
Kama daktari anasema alikuwa anaumia lakini hakuwa na namna maana kutotii malekezo maana yakr unapotea na wewe.
Ikumbukwe Mwanaharakati Mange aliwahi kusema Dullah Ameingiza kontena la silaha.
Huenda tulimpuuza lakini kama uliona aina ya risasi walizotumia polisi sio risasi wanazotumia kila siku katika bunduki zao.
Mdau anamalizia kwa kusema hakuna siku alijutia kuwa daktari kama siku hizo.
Nawasilisha.
Jamii forum imekuwa ya kiduanzi sana...Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo siku hiyo.
Mdau anaendelea kusema alikuwa akitoa risasi majeruhi na mda mwingine alilazimika kuwamalizia majeruhi hao kwa kuamriwa na polisi.
Kama daktari anasema alikuwa anaumia lakini hakuwa na namna maana kutotii malekezo maana yakr unapotea na wewe.
Ikumbukwe Mwanaharakati Mange aliwahi kusema Dullah Ameingiza kontena la silaha.
Huenda tulimpuuza lakini kama uliona aina ya risasi walizotumia polisi sio risasi wanazotumia kila siku katika bunduki zao.
Mdau anamalizia kwa kusema hakuna siku alijutia kuwa daktari kama siku hizo.
Nawasilisha.
Hizi chawa kila mada zinawahi comment za mwanzo zinazurula humu kwa buku7 tu!Hapa umeongea nini hata ujui unachokiongelea we ndo akili hakuna
Abdul anamiliki private army lenye kazi ya kuua Watanganyika.Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo siku hiyo.
Mdau anaendelea kusema alikuwa akitoa risasi majeruhi na mda mwingine alilazimika kuwamalizia majeruhi hao kwa kuamriwa na polisi.
Kama daktari anasema alikuwa anaumia lakini hakuwa na namna maana kutotii malekezo maana yakr unapotea na wewe.
Ikumbukwe Mwanaharakati Mange aliwahi kusema Dullah Ameingiza kontena la silaha.
Huenda tulimpuuza lakini kama uliona aina ya risasi walizotumia polisi sio risasi wanazotumia kila siku katika bunduki zao.
Mdau anamalizia kwa kusema hakuna siku alijutia kuwa daktari kama siku hizo.
Nawasilisha.
Ukitaka nijadili mada gani?..by the way jadili kwa hoja,naamini zimekuingia hizoTuondolee upumbavu wako hapa..kila mada kuhusu mauaji na unyama wa hii serikali unaingia kama mavii
So serikali tukufu inajua na ina ushahidi dhahiri kwamba kanisa lilipanga mapinduzi lakini inaogopa kuliwajibisha kanisa mpaka ikaamua kuuwa na waislam waliotumwa na kanisa kwa risasi za moto?!!Serikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
Hukuona watu walivyopigwaa risasi? Hukuona watu walivyouliwa wakiwa majumbani mwao..kuna mambo mengine unatakiwa unyamaze kimyaa kama unaogopa kupoteza hadhi ya uchawa..mbona machawa wengine wamenyamaza baada ya kuona ukatili mkubwa namna ile? Uhai wa mtu ni wa muhimu kuliko kitu chochote kile. Bichwa limejaaa earth wormsUkitaka nijadili mada gani?..by the way jadili kwa hoja,naamini zimekuingia hizo