gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hukuona miundombinu ilivyochomwa, hukuona mali zikiibwa, hukuona polisi wakiuawa,wapiga kura wakiumizwa, hukuona wakisema wataandama hadi rais aondoke(mapinduzi)?..mngekaa ndani hakuna ambaye angeumizwaHukuona watu walivyopigwaa risasi? Hukuona watu walivyouliwa wakiwa majumbani mwao..kuna mambo mengine unatakiwa unyamaze kimyaa kama unaogopa kupoteza hadhi ya uchawa..mbona machawa wengine wamenyamaza baada ya kuona ukatili mkubwa namna ile? Uhai wa mtu ni wa muhimu kuliko kitu chochote kile. Bichwa limejaaa earth worms
Likiwajibishwa kanisa hutopandisha shetani?So serikali tukufu inajua na ina ushahidi dhahiri kwamba kanisa lilipanga mapinduzi lakini inaogopa kuliwajibisha kanisa mpaka ikaamua kuuwa na waislam waliotumwa na kanisa kwa risasi za moto?!!
Serikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
Siyo bure,una wazimu
Maajabu ya dunia, yaani serikali na Dola kwa ujumla inaogopa mhaini kanisa badala yake inaenda kuuwa wapagani, makafiri na waislamuLikiwajibishwa kanisa hutopandisha shetani?
Palikua na wapagani pale!?..wale wabeba msalaba wa jumuiyaMaajabu ya dunia, yaani serikali na Dola kwa ujumla inaogopa mhaini kanisa badala yake inaenda kuuwa wapagani, makafiri na waislamu
Huyo huwa tunamuignore tu hatujadiliani naye jambo, labda kama unataka kumtukana tu zombi hilo wako wengi humu huwa wanapokea elfu saba saba kwa siku, kazi yao ni kutetea mauaji.Hukuona watu walivyopigwaa risasi? Hukuona watu walivyouliwa wakiwa majumbani mwao..kuna mambo mengine unatakiwa unyamaze kimyaa kama unaogopa kupoteza hadhi ya uchawa..mbona machawa wengine wamenyamaza baada ya kuona ukatili mkubwa namna ile? Uhai wa mtu ni wa muhimu kuliko kitu chochote kile. Bichwa limejaaa earth worms
Wewe pakashume buku saba zinakufanya unakuwa km umekatwa kichwa. 🚮Serikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
Makanisa yalipo mnapajua, viongozi wa kanisa wapo na mnawaona kila siku Wala hawajakimbia nchi. Cha ajabu Dola inaushahidi kanisa liliandaa uhaini ila mnawaogopa mnaishia kuchamba mitandaoni. Wewe inakuingia akilini?Palikua na wapagani pale!?..wale wabeba msalaba wa jumuiya
Wewe ni zoba tuSerikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
Subiri tume ya chande ikamilishe kazi yake, huenda Pana jambo litatokeaMakanisa yalipo mnapajua, viongozi wa kanisa wapo na mnawaona kila siku Wala hawajakimbia nchi. Cha ajabu Dola inaushahidi kanisa liliandaa uhaini ila mnawaogopa mnaishia kuchamba mitandaoni. Wewe inakuingia akilini?
Hizo buku saba zitakuja kuwatokea makalioni hawa hawana hata akiliWewe pakashume buku saba zinakufanya unakuwa km umekatwa kichwa. 🚮
Sio kweli huwezi kujichunguza kwenye kesi ya mauaji labda kama watakuja FBI, Scotland yard, CIA etcMwelezi huyu Madau afikishe haya maelezo kwenye tume ya uchunguzi wa matukio ya October 29.
Mawasiliano:
+255748 755 677
maoni@tume.uchunguzi.go.tz
Hiyo tume iliyopewa kazi na report ya kupika ndio unasubiri ushahidi wa kuliwajibisha kanisa? Na mbona mnasema kanisa lilitaka kupindua serikali, tume ya nini sasa wakati majibu mnato? Vichwa panzi kabisaSubiri tume ya chande ikamilishe kazi yake, huenda Pana jambo litatokea
Kwa sasa si viongozi wa chadema wala hao wapiga waliohusika watakaoenda nje,yule mnyaturu anajua, ndiyo maana alidai huenda akauawa muda wowote
Mipuuzi sana njaa za tumbo zitawauaHizo buku saba zitakuja kuwatokea makalioni hawa hawana hata akili
Kuwa na subiraHiyo tume iliyopewa kazi na report ya kupika ndio unasubiri ushahidi wa kuliwajibisha kanisa? Na mbona mnasema kanisa lilitaka kupindua serikali, tume ya nini sasa wakati majibu mnato? Vichwa panzi kabisa
Ni wapumbavu sana hawa chawa Kuna wenzao walikuwa wanatabia ya kuweka mabango kwenye ukuta wangu niliwatia la kati wote hawa wapuuziMipuuzi sana njaa za tumbo zitawaua
Ingia kwenye ignore list kuanzia leo sitoona tena takataka zakoSerikali ilijua mapema kwamba kanisa linapanga mapinduzi, ndiyo maana rais alijiandikisha Dodoma kupiga kura
Kuamini Abdul aliingiza silaha Ili vyombo vya ulinzi na usalama litumie,ni ujuha,ukichwamaji
Kwamba vyombo vya usalama havikua na bunduki na risasi
Muwe mnatumia akili walau mara moja moja
Yaani mnajichunguza wenyewe nani alileta police wa Uganda waue raiaMwelezi huyu Madau afikishe haya maelezo kwenye tume ya uchunguzi wa matukio ya October 29.
Mawasiliano:
+255748 755 677
maoni@tume.uchunguzi.go.tz