Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

Hayo ya mwana wa pekee ni maandiko ya Paulo na wapagani wa Roma,Musa na wayahudi wenzie wanajua Mungu Hana mwana,hiyo ni kufuru kwao
 
Hayo ya mwana wa pekee ni maandiko ya Paulo na wapagani wa Roma,Musa na wayahudi wenzie wanajua Mungu Hana mwana,hiyo ni kufuru kwao
Nimetoa kwenye kitabu Cha Mathayo ambaye alikuwa mmoja wa Mitume 12 wa Yesu.
Paulo hajaandika kitu kama hiki.

Mathayo 17:4-5
[4]Petro akajibu akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa; ukitaka, nitafanya hapa vibanda vitatu, kimoja chako wewe, na kimoja cha Musa, na kimoja cha Eliya.
Then answered Peter, and said unto Jesus, Lord, it is good for us to be here: if thou wilt, let us make here three tabernacles; one for thee, and one for Moses, and one for Elias.
[5]Alipokuwa katika kusema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.
While he yet spake, behold, a bright cloud overshadowed them: and behold a voice out of the cloud, which said, This is my beloved Son, in whom I am well pleased; hear ye him.

HUONI HAPO NI INJILI YA MATHAYO? AU UNAJITOA UFAHAMU?

THIBITISHA WAPI MUNGU ALIMUAMBIA MUSA WAZI KUWA NI MWANA WAKE, DAUDI KUWA NI MWANA WAKE NA EZEKIEL KUWA NI MWANA WAKE KWENYE MAANDIKO YA BIBLIA.
 
Architect wa yote hayo ni Paul,yesu hakufundisha yeye kuwa mwana wa Mungu,Mara Mungu,Mara Mungu pamoja nasi,jifunze historia ya biblia,kuandikwa kwake nk
 
Architect wa yote hayo ni Paul,yesu hakufundisha yeye kuwa mwana wa Mungu,Mara Mungu,Mara Mungu pamoja nasi,jifunze historia ya biblia,kuandikwa kwake nk
Hakuna kitu kama hicho, Kitabu Cha Mathayo hakuna Paulo, mwongo mkubwa.

Nionyeshe jina la Paulo katika kitabu Cha Mathayo.
Thibitisha Kwa kutumia Maandiko kama huwezi wewe ni mjinga, kubali hilo.
 
Hakuna kitu kama hicho, Kitabu Cha Mathayo hakuna Paulo, mwongo mkubwa.

Nionyeshe jina la Paulo katika kitabu Cha Mathayo.
Thibitisha Kwa kutumia Maandiko kama huwezi wewe ni mjinga, kubali hilo.
We ndo yule mgumu kuelewa!!..haya yesu aliposema '...lakini nenda kawaambie ndugu zangu ya kwamba naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yao,kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wao..' alimaanisha nini!?
 
We ndo yule mgumu kuelewa!!..haya yesu aliposema '...lakini nenda kawaambie ndugu zangu ya kwamba naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yao,kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wao..' alimaanisha nini!?
Wewe ndo mgumu kabisa wa kuelewa na inawezekana una low level of IQ.

Nimekuonyesha kupitia Maandiko tofauti ya Yesu na manabii wengine, wewe unakuja na visingizio vya vijiweni ambayo huna ushahidi navyo.

Thibitisha Kwa Maandiko matakatifu.
Twende Kwa hoja ya Maandiko.
 
We ndo yule mgumu kuelewa!!..haya yesu aliposema '...lakini nenda kawaambie ndugu zangu ya kwamba naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yao,kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wao..' alimaanisha nini!?
Nionyeshe wapi Mungu mwenyewe alimuita Musa Mwanangu?
Alafu nitajibu swali lako lingine.
 
End of the road
 
2025 haendi mtu aidha tuimbe tenzi au mtembea peku aimbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…