Godbless Lema ndiye mwenye makosa. Kwa nini ampigie simu yule wakati Sabaya amelewa chakari.
 
Mh. Rais kwa unyekevu kabisa ikupendeza unda tume ya haki na maridhiano. Tunatamani kurudi kwenye misingi yetu ya kitanzania ya utu.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…