Madaraka hayamfai mtu mshamba.Huyu kibaka akustahili kabisa kuwa mtumishi wa umma .
Kumi tena kwa mama







 
Alijikologa mwenyewe kwenda kuongea utumbo kwenye TV tawi la ccm
 
Msibani mtu ulia kwa uchungu sio kwamba anampenda marehemu bali hofu ya njia ya toilet kuota nyasi
 
Duh!! Tatataka kabisa

Bora kaondoka

Ila mama awe makini na Ndungai naye ni hatari kwa usalama wa taifa ili

Impeachment ingemfaa sana na yeye
Mama hana Mamlaka ya kuingilia mhimili Wa Bunge. Mama ana kaustaarabu ka kuheshimu Mipaka yake ya Utawala...

Mama Siyo kama yule Chizi!!
 
Duh wewe ni muhanga?
Ndio,
hivyo viwajwa ndio vinanipa ugali mezani, sasa jitu kisa kuu la wilaya linalaximisha bure
Ok sijasoma Ila siibi cha mtu, wewe rais anakujua , Mara sijui visifa kibao Sasa toa hela hizo sifa haziwalipii nauli na ada wadogo zangu
Namsubiri nikutane naye mtasikia habari kwenye magazeti, namdhalilisha mwanzo mwisho, ntamwagia mkojo , natembea nao kwenye chupa
 
Kasabaya kamefika mwisho wake sasa ashukuriwe Mungu mkuu!
 
Duh.. ushauri wa hasimu wako ni mzito sana kuliko wale wanaojipendekeza na wanafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…