Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?
Bado utabiri kuhusu spika......ukiona mtu anatoa utabiri unatimia na anazidi kurudia na kuwaonya watu elewa anaona vitu mapema ktk ulimwengu wa roho ..hata kama utamdharau kwa sababu za kisiasa etc lakini elewa Mungu anaweza zungumza na mtu yeyote kwa njia nyingi ...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Bado utabiri kuhusu spika, ukiona mtu anatoa utabiri unatimia na anazidi kurudia na kuwaonya watu elewa anaona vitu mapema ktk ulimwengu wa roho ..hata kama utamdharau kwa sababu za kisiasa etc lakini elewa Mungu anaweza zungumza na mtu yeyote kwa njia nyingi...
Pia Lema ni mwanahistoria mzuri wanajua yajayo kwa akuoitia yaliyopita.

Lissu alituonya mapema sana wiki moja baada ya Jiwe kuapa akatwelez Magufuli atakuwa Dikteta wa kutisha tujiandae kwa maumivu. Yaliyotokea sote ni mashahidi
 
Nchi hii bana,

Ndio maana kina Masanja na Gwajima wanafungua makanisa kila siku.
 
Back
Top Bottom