Mbona sijaona picha yanguWakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?View attachment 3583111
Wanawake wanapenda security hivyo wengi wao wanakimbilia ajira.Nje ya mada,
Hivi kwa nini mada kama hizi,hawa Dada zetu wa JF hua sio wachangiaji?
Kwa sababu mtu mweusi hajawahi fundishwa kutafuta pesa ila fitina,wivu,ulalamishi,porojo na ujinga wa dini.Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?View attachment 3583111
Katika orodha hiyo waajemi ni wepi?Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?View attachment 3583111
Akili zao huwa zinanishangaza sana. Akishajua yeye ni pisi kali yuko radhi kujitangaza kuwa anataka mwanajeshi.😉Wanawake wanapenda security hivyo wengi wao wanakimbilia ajira.
Unawatuhumu hao watu kuwa wanaiba,je unaweza kuelezea wanaibaje,na utoe ushahidi wa wizi wao
- Sababu za kihistoria.
- Wanasiasa waswahili wapenda rushwa wanawazesha
- Wanajiongeza kibiashara. Nyie mafisadi yenu meusi kama kina Samia, Mkunda, Abdul, Lugumi, Kikwete yanaiba na kununua Mabugatti na kupora vyeo vya kisiasa. Hayawezi kuendesha hata kiwanda cha Biscuit.
Cheki Lugumi anaiba ananunua magari, ****.za kinyarwanda, anayawekea kiyoyozi na kununua majumba.
Ili kuwa na lifestyle hiyo inabidi aibe kila mwaka.
- Wana mitaji mikubwa
Kwishaaaa . Mifumo haimbebi mzawa inapendelea wageniMifumo Mibovu ya NCHI ,
Wanafanya biashara gani??Unawatuhumu hao watu kuwa wanaiba,je unaweza kuelezea wanaibaje,na utoe ushahidi wa wizi wao
Hii nayo ni point kubwa. Malezi, mtu mweusi anaelea mtoto hampi skills za kurun mali au biashara, anamuacha mtoto apitie magumu kama aliyopitia akiamini ndio yatampa akili. Wakati wenzetu wanampa mtoto elimu kwa vitendoUtajiri unaanza na mindset ya mtu,nidhamu ya fedha,juhudi,discipline,malengo ya muda mfupi na malengo ya muda mrefu na mengineyo,
Leo hii ukimpa tajiri milioni 100 na masikini milioni 100 ili wote waanze upya,
Basi yule tajiri atarudi kua tajiri tena,na masikini atarudi kua masikini tena kama asipobadilika.
Watu wote wako hivyo au watu wa pwani? Mbona wafanyabiashara wa kariakoo watakuprove wrong?. Biashara nyingi kariakoo zinaendeshwa kifamilia now, do your researchHii nayo ni point kubwa. Malezi, mtu mweusi anaelea mtoto hampi skills za kurun mali au biashara, anamuacha mtoto apitie magumu kama aliyopitia akiamini ndio yatampa akili. Wakati wenzetu wanampa mtoto elimu kwa vitendo
Kwanini matajari weusi wakiondoka utajiri nao unafifia au kwisha kabisa. ? Watoto hawajaandaliwa
Njia pekee ya utajiri mkubwa kwa minajili hiyo ni urithi. Walichokifanya hao jamaa ni kuendeleza mirathi kufika hapo. Una update yoyote ya familia zilizoachwa na utajir wa wazazi kama kina Mufuruku? Tuashum mkapa nae tajiri na Mengi muelekeo waoKwenye hiyo list walioanza toka scratch ni wangapi? Najua Bakhresa tu.
Mtu kama Mo Dewji ni generation ya mbele ya familia ya kibiashara.
Wabongo kwa tamaduni zetu, marehemu anakufa na chake. Mtoto anatimuliwa nyumbani akatafute zake. Hata kama baba anajiweza, hampi mtaji wala connections. Uchoyo wa ajabu.
Wenzetu hawafukuzani nyumbani hovyo. Wanafanua biashara za familia toka udogoni na mali zinarithishwa ndani ya familia.
Kushindana na mtu kama Mo, ni kama timu ya Daraja la nne kushindana na timu ya ligi kuu.
Mbombo Nkafu kabisa.
1. Muajemi hapo ni Rostam, wa Ajemi ni watu wa Ukanda wa Iran si kila MTU wa Asia ni Muajemi.Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?View attachment 3583111