Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

Waarabu, Wahindi na Waajemi Huwa wanajikita katika sekta za kutengeneza pesa nyingi kwa haraka, wanajua kushirikiana kifamilia katika biashara, wanajua vizuri kucheza na siasa za nchi au mamlaka kujipatia utajiri.
Kama hufahamu waarabu wengi kabla na baada ya Uhuru ni wakulima na wanaishi vijijini zaidi kuliko Mjini, nenda Tanga utakuta waarabu magoma, Maramba, moa, vuo, manza, Duga, Pangani, kigombe, mauya huko etc kote Huko hakuna fursa ambayo local hawezi Fanya,

It's more of lifestyle kushinda opportunities.
 
1. Uajemi sio suala kuu la mada, picha ya Bahresa pia sio ishu sana. Mengi na mufuruku ni idadi ndogo ndan ua neno "Utawala" katika mada kama kichwacha mada kilivyotokea hapo juu.

Nyerere na ujamaa wake alikumbatia vipi hawa watu? Nan alipata ngaz ya uongozi wa jamii kipindi cha Nyerere?
 
Wakati mwingine sio Mzazi anamuacha Mtoto apitie Magumu/atafute chake bali unakuta Mtoto anataka chake (Ubinafsi) & Kujitegemea.

Hili Nimelishuhudia mwenyewe, Mzazi anataka kufanya business succession kwa Kijana wake ila Kijana anaona Mzazi wake anamtawala/anambana/anamnyima uhuru wa kufanya mambo anavyotaka yeye wakati Mzazi anataka kijana apate uzoefu wa kutosha kwanza then A-step back awe kama Supervisor/Consultant wa Biashara hiyo.

Kijana ameomba mtaji wake akaanze upya kutafuta vyake kwakufanya Biashara kama ile ya Mzazi wake, Pathetic!

UBINAFSI.
 
Au alikuwa anamsimanga? 😆
 
Kwa hio Mengi na Mufuruki huoni kwamba wanakupa jibu unalotafuta? Huoni kwamba ukisoma Historia zao zitakuonesha kwanini walikua matajiri? Na anguko Lao linaonesha kwanini watu wengi familia zao haziwi matajiri?

Kipindi cha Nyerere kuanzia Jina la Tanzania lenyewe Hadi policy mbalimbali walitunga hao wahindi wa Gujarati, kulikua na Mawaziri kama Al Noor Kassum, msaidizi na Mshauri wa Nyerere kama Adieu Annar etc.

Mostly walikua kwenye Community ya Ismailia ambao kiongozi wao alikua Aga khan, hawa walikubali Sera ya ujamaa na Mali zao nyingi ndio National housing unayoiona Leo.

Wahindi wengine ambao hawakublend na Nyerere na Sera ya Ujamaa walikimbia.
 
Sababu ni nyingi za msingi ni
1. Hatuna elimu ya succession plan refer Mengi
2. Kuzaana wengi, na mbaya zaidi ukiwa na ndoa za mitara kila mtu anataka kuwa ceo wa kampuni hata kama hawezi
3. Sisi waafrika na hasa Watanzania iq zetu tulio wengi ni ndogo nadhani ni nature
4. Mifumo ya serikali nayo inachangia mfano vijana wanaandamana kudai haki ikiwemo uchaguzi uliohuru ili kila mtu mwenye sifa stahiki agombee na achaguliwe kwa haki lakini wanapigwa risasi refer oktoba 29.
5. Elimu inayotolewa nchini imelenga kuajiriwa na serikali badala ya kujiajiri
 
Hatuwez kuweka picha yako utajiri wako ni zao la ufujaji na matumiz mabaya ya madaraka uliyopewa na jamhuri ya Muungano kwa wivu mkubwa. Tunajuta kukuamini
Ila watu mna wivu😂😂 una uhakika gani hao hawajafuja au hawajazipata hizo pesa kwa rushwa
 
Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?

Unamjua mwamba huyu
 
Mkuu uwe unazungumzia kitu unafahamu.
 
Sultan hakuleta wahindi. Wahindi waliletwa na Wakoloni Waingereza East afrika kujenga reli, kwasababu wakoloni hawakutaka kufundisha waafrika.
 
Kwa sababu hawarogabi ndugu kwa ndugu, biashara nyingi ni za familia zao za zamani, Wanakwepa kodi kupitia wqnasiasa waliowaweka mfukoni
 
Nidhamu ya biashara na mtiririko mzuri wa urithi.Waafrica baba akizeeka au kufariki tunachowaza ni kugawana mali na sio kuendeleza
 

Au alikuwa anamsimanga? 😆
Amna.

Ni vile Kijana anataka kuwa na cha Kwake, aweze kufanya anavyotaka.
 
Nidhamu ya biashara na mtiririko mzuri wa writhing.Waafrica baba akzeeka au kufariki tunachowaza ni kugawana mali na sio kuendeleza
Na unafikiri utamadni tulion nao na mahusiano ya kijamii, mitazamo na idea zilizpo kichwani mwetu tunaweza kuendesha kitu kimoja kwa common interest?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…