Wewe urogwe na ndugu, majirani zako, wanakijiji wenzako, wafanyabiashara wenzako, ukishvuka hapo unakutana na wananchi ambao hata hawakujui.Kuna namna kumbe uchawi umechangia sisi kuwa hapa?
Mimi nahisi unaanza fundamentally Toka wakiwa wadogo. These people have great minds linapokuja swala la finances.Kuna dogo wa kiajemi yupo around 22 ila anasimamia sheli 2 za baba yake Engine oil.
Huyu dogo akiombwa hela hata miatano lazima aulize kujua hii miatano ni ya nini .
Na asipokuelewa atasema njoo ofisini unipe ufafanuzi vzr.
Ila mtafute mtoto ambaye baba kabahatisha uwaziri be uone akiwa na umri huo na pesa ipo kawekeza wapi , utakuta 90% ni mademu, pombe n.k
Kiufupi waajemi Wana nidhamu kubwa sana ya pesa .
Wanawashinda watani zangu wqmeru na wamachame? 😂Wewe urogwe na ndugu, majirani zako, wanakijiji wenzako, wafanyabiashara wenzako, ukishvuka hapo unakutana na wananchi ambao hata hawakujui.
Mbali na hayo hatuna misingi mizuri ya biashara kuanzia chini Asia ni jamii ya wafanyabiashara kutoka karne nyingi zilziopita
Hapo ndo ilipo tofauti ya hao (Waasia, waarabu) na Waafrika, Kwao cha familia ni Cha Kwake hata kama wako Mamia kwa maelfu.Kuna namna yuko sahihi, mali ya baba ni ya familia nzima. In particular, Au kazaliwa peke yake?
Hapana.Safu ya directors na steering staff wa alibaba unawafaham? Ni nani ana uhusiano na jack ma pale?
Tukitoka kwemye essence ya kuona kama hiyo ni nepotism na kuona machache japo! Yaliyo mazuri katika kuivaa biashara katika mifumo rasmi kama mali ya familia hapo tutattatua walau nusu ya matatizi yetu.Hapana.
Blender umeongea kitu kizuri, tentative! Naomba nijue jinsia ysko ili nipate kusema neno haraka iwezekanavyoMoja ya sababu ya kuleta ujamaa ni kuwahifadhi wa Asian na kuwafukuza wa UK. Baada ya lile tukio la mapinduzi ya askari wakitaka maisha Bora.
Wazawa na wapigania uhuru wakaoneka ni hatari so ni kuwa letea ujamaa ili kuja kuwakomesha kabisa, badala ya kujenga umoja wa kitaifa kwa kuwawezesha wazawa kuweza kumiliki ,mashirika, viwanda company, Estate
Watu kama bibiti na yule mkulima kule iringa wakajikuta matatizoni , baada ya kupigania haki yao ya kumiliki shughuli za uchumi kwenye Nchi yao.
Lakini baadae sana mwalimu kwenye kitabu Fulani hivi alikuja kuwaita wa Asian ni wanafiki na wezi wa Mali za umma
Mwalimu aliwatumia wa Asian kwenye politics, uchumi na kuwaacha wazawa walipigani uhuru, mwalimu alikuja kujuta sana .
So kuja Kwa Biashara huruia , Bado wananchi wengi wakawa na mawazo ya kijamaa, so baadhi ya viongozi wakawatumia Asian kuhifadhi Mali na Biashara zao.
Si unaona hata leo kiongozi akiwa na Hotel ya 5 ✨ basi ni kelele wee , wakati ni haki yake kumiliki shughuli za uchumi na kulipa kodi kwa kufuata sheria.
So inabidi tuache akili za kimaskini (ujumaa) , sisi pamoja na viongozi wa serikali kuendesha shughuli za uchumi pamoja na kulipa Kodi.
Tukifanya hivyo viongozi wetu hawataficha pesa nje ya Nchi na kuwatumia wa Asian.
Asante 🙏
Kamba,Sultan hakuleta wahindi. Wahindi waliletwa na Wakoloni Waingereza East afrika kujenga reli, kwasababu wakoloni hawakutaka kufundisha waafrika.
Mkuu RRONDO nakuheshimu sana lakini nakuomba ufafanue hapo kwenye low IQ. Haya ni matusi.Gap lilianza kukua kuanzia awamu ya pili. Sababu kuu sisi kushindwa ni selfishness,greed na sadly low IQ
Naeza kupata maelezo zaidi ya hawa wa Gujarat?Kamba,
wahindi wa Tanzania hawa matajiri wameletwa na Sultan, at that time waziri Mkuu wa Sultan (Honorary) aliitwa Sir Tharia Topan alikua ni mhindi Ismailia toka Gujarati. Akaja Aga khan na sultan aliponunua Mzizima na kubadili kuwa Dar es salaam akawaweka wengi Tu Dar sababu walikua na Hela za kufanya investments, there is a reason ikulu ya Tanzania ambayo ilikua ni ya Sultan imezungukwa na makazi ya Ismailia dar kuanzia Hospital Yao ya Aga khan mpaka nyumba zao za kuishi kule karibu na Feri mpaka kuja Salender bridge.
Ushahidi mwengine usio na Shaka soma Historia zao wenyewe hao matajiri.
Mo dewji toka Gujarati familia yake imekuja miaka ya 1800 (Tumekuwa koloni la Uingereza baada ya vita vikuu vya Dunia 1914), 1862 ndio Dar ilianzishwa.
Source Chahali
Safu ya MAISHA [Episode 2]: Mfahamu Mohammed Dewji (@moodewji), Mtanzania tajiri kuliko wote, mwanasiasa mstaafu, mfadhili wa soka na msamaria mwema (philanthropist)
Mohammed "Mo" Gulamabbas Dewji (aliyezaliwa 8 Mei 1975) ni mfanyabiashara bilionea kutoka Tanzania na mwanasiasa wa zamani.www.baruayachahali.com
unaweza soma Historia kwa ujumla hapa
Hao unaosema wamekuja kujenga reli ni hohehahe kama Sisi Tu, wengi hawana influence na utajiri kama hao wa Gujarati.
Aga Khan siyo WAHINDU.Kamba,

MEBlender umeongea kitu kizuri, tentative! Naomba nijue jinsia ysko ili nipate kusema neno haraka iwezekanavyo
Sio wahindu dini lakini wahindi race au sijakuelewa. Aga khan sio wahindi au sio wahindu?Aga Khan siyo WAHINDU.
WAAHINDI wengi walioletwa na WAINGEREZA ni GUJARAT, na ni WAHINDU.
View attachment 3583380View attachment 3583381
Aga Khan ni DINI ya ISMAILIA.Sio wahindu dini lakini wahindi race au sijakuelewa. Aga khan sio wahindi au sio wahindu?