Hakuna Mwarabu, Muajemi au Mhindi anayefanya Kilimo cha wakulima wadogo, Waarabu wana namna za kufanya mambo yao tofauti na sisi Waafrika mfano akikuta mahali wakina mama wanauza vitumbua na soko la vitumbua ni kubwa sana la maana yeye ataenda kujipanga na wenzake wafungue bakery kabisa halafu wawaajiri hao wakina mama wa mtaani hapo kwenye bakery.Kama hufahamu waarabu wengi kabla na baada ya Uhuru ni wakulima na wanaishi vijijini zaidi kuliko Mjini, nenda Tanga utakuta waarabu magoma, Maramba, moa, vuo, manza, Duga, Pangani, kigombe, mauya huko etc kote Huko hakuna fursa ambayo local hawezi Fanya,
It's more of lifestyle kushinda opportunities.
Umekunywa maji ya bendera ya Waasia kuwapigia propaganda Waasia hapa jukwaani na huwa unakuwa na chumvi nyingi sana kwenye maandiko yako.Kwa hio Mengi na Mufuruki huoni kwamba wanakupa jibu unalotafuta? Huoni kwamba ukisoma Historia zao zitakuonesha kwanini walikua matajiri? Na anguko Lao linaonesha kwanini watu wengi familia zao haziwi matajiri?
Kipindi cha Nyerere kuanzia Jina la Tanzania lenyewe Hadi policy mbalimbali walitunga hao wahindi wa Gujarati, kulikua na Mawaziri kama Al Noor Kassum, msaidizi na Mshauri wa Nyerere kama Adieu Annar etc.
View attachment 3583227
Mostly walikua kwenye Community ya Ismailia ambao kiongozi wao alikua Aga khan, hawa walikubali Sera ya ujamaa na Mali zao nyingi ndio National housing unayoiona Leo.
Wahindi wengine ambao hawakublend na Nyerere na Sera ya Ujamaa walikimbia.
Uko Sahihi, Wahindi wengi walikuja Africa enzi za ukoloni kwa ajili ya kujenga reli.Sultan hakuleta wahindi. Wahindi waliletwa na Wakoloni Waingereza East afrika kujenga reli, kwasababu wakoloni hawakutaka kufundisha waafrika.
Unataka kusemaje mkuu? Na upo maeneo gani mm nije tumaizane ili habari hizi zisiende mbaliHakuna Mwarabu, Muajemi au Mhindi anayefanya Kilimo cha wakulima wadogo, Waarabu wana namna za kufanya mambo yao tofauti na sisi Waafrika mfano akikuta mahali wakina mama wanauza vitumbua na soko la vitumbua ni kubwa sana la maana yeye ataenda kujipanga na wenzake wafungue bakery kabisa halafu wawaajiri hao wakina mama wa mtaani hapo kwenye bakery.
Pia tusisahahu Waasia wengi waliokimbilia kufanya biashara au kilimo kikubwa huko vijijini wengi walienda kuweka makazi karibu na mbuga za wanyama zenye tembo😁
Sasa Aga khan aliwarudishia ani posta ile jubilee na ukwasi wao wa leo?Umekunywa maji ya bendera ya Waasia kuwapigia propaganda Waasia hapa jukwaani na huwa unakuwa na chumvi nyingi sana kwenye maandiko yako.
Nyerere alikuwa na serikali mchanganyiko ya kila aina enzi za mwanzo za utawala wake kuanzia Waswahili, Wazungu, Waarabu mpaka Wahindi, alikuwa hadi ana katibu msaidizi wake binafsi mzungu anaitwa Joan Wicken.
Halafu Sera na sheria nyingi za Tanzania ukiacha za ujamaa ziliritithiwa kutoka kwa wakoloni wazungu Waingereza, hazikutungwa na Wahindi wa kutoka Gujarati.
Utaifishaji mali uliofanywa na Nyerere ilikuwa ni kwa makundi yote sio Wahindi wa Ismailia tu na hawakujitolea mali kwa serikali bali zilichukuliwa kwa amri na nguvu ya serikali. Ilikuwa hivyo kwa mali za Wakatoliki, Lutheran na vyama vya ushirika pia.
Touch grass bro usishinde Tu JF, waarabu ni watu wa vijijini Nchi hii kuliko mijini, tembea Tanga, pangani, muheza huko utawakuta vijijini na Biashara/Kilimo wanachofanya kinaingiza pesa kuliko Asilimia kubwa ya walio Mjini, na nakwambia hivi sababu nafahamiana na hao watu personal ni Historia ninayoiishi.Hakuna Mwarabu, Muajemi au Mhindi anayefanya Kilimo cha wakulima wadogo, Waarabu wana namna za kufanya mambo yao tofauti na sisi Waafrika mfano akikuta mahali wakina mama wanauza vitumbua na soko la vitumbua ni kubwa sana la maana yeye ataenda kujipanga na wenzake wafungue bakery kabisa halafu wawaajiri hao wakina mama wa mtaani hapo kwenye bakery.
Pia tusisahahu Waasia wengi waliokimbilia kufanya biashara au kilimo kikubwa huko vijijini wengi walienda kuweka makazi karibu na mbuga za wanyama zenye tembo😁
Niko nanunua pamba, dengu na choroko maeneo ya pembezoni mwa mbuga ya Serengeti mkuu.Unataka kusemaje mkuu? Na upo maeneo gani mm nije tumaizane ili habari hizi zisiende mbali
Sijui hata kama hio screenshot yako umeielewa, inaprove point yangu badala yako.Aga Khan siyo WAHINDU.
WAAHINDI wengi walioletwa na WAINGEREZA ni GUJARAT, na ni WAHINDU.
View attachment 3583380View attachment 3583381
Samahani mkuu kusema umekunywa maji ya bendera ya Waasia, nilishasahau kwamba ulishasema wewe ni Mwarabu.Touch grass bro usishinde Tu JF, waarabu ni watu wa vijijini Nchi hii kuliko mijini, tembea Tanga, pangani, muheza huko utawakuta vijijini na Biashara/Kilimo wanachofanya kinaingiza pesa kuliko Asilimia kubwa ya walio Mjini, na nakwambia hivi sababu nafahamiana na hao watu personal ni Historia ninayoiishi.
MOja ya Sababu kwanini waarabu na Swahili elites hawakuwa na conflict of interest ni kwamba waarabu walikua ni wakulima, pwani ya Africa Mashariki watu walikua hawalimi, ni uvuvi na biashara, waarabu walivyokuja wanaleta Karafuu, Nazi, mdalasini, Pilipili manga, miwa etc mazao ambayo yalistawi kwenye uoto wa pwani. Swahili elites wakawa bado Wana control pwani Yao kwa kukusanya Kodi and the likes win to win situation, Hadi alivyokuja mkoloni na kuwapokonya keki Yao ndio vita vikaanza.
Mpaka Leo waarabu si watu wa mjini, wengi humu hata basic concept ya kumtofautisha Mwarabu, mhindi, Mbulushi, Muajemi etc hawana ndio maana akikutana na watu weupe wengi mjini anajua automatic ni waarabu.
Maisha yangu yote Mimi ni data driven, siongei vitu bila ushahidi Historia yangu nimesoma na Historia ya Nchi nimesoma si Tu Darasani Bali vyanzo mbalimbali. Kama Una la kuchangia ama kuonesha ninachoongea sio sahihi karibu weka links na source mbalimbali, sababu kitu hukipendi haimaanishi hakikuwepo.Samahani mkuu kusema umekunywa maji ya bendera ya Waasia, nilishasahau kwamba ukishasema wewe ni Mwarabu.
Sikiliza kuanzia dakika ya 9Sijui hata kama hio screenshot yako umeielewa, inaprove point yangu badala yako.
1. Inasema waingereza walileta mapanjabi na Sikh huku, ni Sawa sikatai, je hao ndio matajiri wetu? Hapana matajiri wetu si masingasinga ni waisilamu wa Shia toka Gujarati.
2. Si kila anetoka India ni mhindu, Elites wa India at that time walikua ni Mughal hao walikua ni waisilamu kama hufahamu, Aga Khan Alitoka Gujarati India kuja Tanzania, kabla ya kwenda India alikua na Asili ya Iran (Shah ni Wairan)
3. Hatuongelei middle class kama screenshot yako inavyoonesha Tunaongelea matajiri kina Mo, Zakaria, Rostam etc hawa wazazi wao walikuja kujenga reli? Kama walikuja kujenga reli toa ushahidi otherwise hujathibitisha chochote hapo kama nilivyoweka Mimi ushahidi wagujarati walikuja before muingereza weka na wewe wako.
Bilionea Harbinder Singh Sethi wa IPLT na ESCROW alitokea wapi?Sijui hata kama hio screenshot yako umeielewa, inaprove point yangu badala yako.
1. Inasema waingereza walileta mapanjabi na Sikh huku, ni Sawa sikatai, je hao ndio matajiri wetu? Hapana matajiri wetu si masingasinga ni waisilamu wa Shia toka Gujarati.
2. Si kila anetoka India ni mhindu, Elites wa India at that time walikua ni Mughal hao walikua ni waisilamu kama hufahamu, Aga Khan Alitoka Gujarati India kuja Tanzania, kabla ya kwenda India alikua na Asili ya Iran (Shah ni Wairan)
3. Hatuongelei middle class kama screenshot yako inavyoonesha Tunaongelea matajiri kina Mo, Zakaria, Rostam etc hawa wazazi wao walikuja kujenga reli? Kama walikuja kujenga reli toa ushahidi otherwise hujathibitisha chochote hapo kama nilivyoweka Mimi ushahidi wagujarati walikuja before muingereza weka na wewe wako.
Miaka hio India ndio walikamata Uchumi wa Dunia, walipishana wao na China, so walikua vizuri kwenye suala la mitaji.Naeza kupata maelezo zaidi ya hawa wa Gujarat?
Sio bilionea na Hana hadhi ya kukaa na hao juu,Bilionea Harbinder Singh Sethi wa IPLT na ESCROW alitokea wapi?
Ila mkuu watu wa asili ya Asia mnatubamiza sana. Kuanzia ESCROW, Richmond, EPA, rada ya BAE mpaka Simba ni nyie tu😁Sio bilionea na Hana hadhi ya kukaa na hao juu,
Pia ni Mtanzania huyu? Si mwekezaji Tu kaja juzi juzi? Hii quote yake.
³I followed all the procedures….I did not come to Tanzania to make money….I want to help Tanzania to get enough electricity that is vital in economic development,² he told a section of journalists in Dar es Salaam.
Sasa mbona aliichangia hadi CCM kwenye gala dinner Mlimani City?!Sio bilionea na Hana hadhi ya kukaa na hao juu,
Pia ni Mtanzania huyu? Si mwekezaji Tu kaja juzi juzi? Hii quote yake.
³I followed all the procedures….I did not come to Tanzania to make money….I want to help Tanzania to get enough electricity that is vital in economic development,² he told a section of journalists in Dar es Salaam.
Siku ukiweza kutofautisha wageni na hao wa Asia ambao wapo kwetu miaka na miaka Akili itafunguka. Kuna utofauti mkubwa mno baina ya MO na MTU kama Sethi,Ila mkuu watu wa asili ya Asia mnatubamiza sana. Kuanzia ESCROW, Richmond, EPA, rada ya BAE mpaka Simba ni nyie tu😁
Huyo jamaa kila MTU anasema chake, Ukienda Kenya ni Mkenya, ukija Tanzania ni Mtanzania, sasa hivi South Africa anaitwa "Torch bearer wa Sikh wa south Africa", MTU gani Hana Historia ya ukweli hata moja? Ukimsoma kidogo Tu unaona ni mpiga dili Hana credibility za hawa tunaowazungumzia hapa.Sasa mbona aliichangia hadi CCM kwenye gala dinner Mlimani City?!
Bado haijakuja mkuu, yamekuja maneno Tu hakuna video/audioSikiliza kuanzia dakika ya 9