Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

Mkuu kwanza ningeomba mwenye list ya mabarozi wetu walio nje alete hapa wenda huko Kuna majembe wanaweza kumsaidia Rais,Tz KWA ujumla kusogeza gurudum,natanguliza shukrani
 
Mkuu kwanza ningeomba mwenye list ya mabarozi wetu walio nje alete hapa wenda huko Kuna majembe wanaweza kumsaidia Rais,Tz KWA ujumla kusogeza gurudum,natanguliza shukrani
kumbe nao wanaingia Bungeni? yupo Bana Nigeria, Kyaruzi China nikuongezee wangapi?
 
Kwa maslahi mapana ya Taifa PM Kasimu Majaliwa aendelee.
 
Waziri mkuu abaki Majaliwa, wakimuweka Bashiru kuwa VP, utatu mtakatifu unakuwa umetimia! Kazi zitafanyika vizuri kabisa bila matatizo.
 
SIKILIZENI HII NCHI INATAKA RAISI MKALI SO MAKAMU AWE MKALI NA MWENYE IDEA KWANZA YEYE MWENYEWE ZA KUTOSHA, YAANI VISIONERY LEADER
 
TLS inaonekana wapo chaka, kufa kwa Rais si serikali kuvunjwa, mawaziri wote bado wanaendelea na nafasi zao pia PM anaendelea na nafasi yake, Samia ana uhuru wa kumbadilisha yoyote ila serikali haijavunjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…