Unadhifu na mpangilio wa mavazi kwa mwanamke


binti kiziwi , they are the absolute worst ๐Ÿคฆโ€โ™€๏ธ
 
Magonjwa yote ya zinaa yameanzia sinza
Thubutuuu.!! Yameanzia border huko na kuzama ndani..!!

Huko kuna muingiliano mkubwa wa raia kutoka nchi jirani..!!

Labda km unataka kushindana bila facts sawa..!!
Angalia takwimu za TACAIDS
 
Kwa muktadha ulioongea wa kama wanawake kujisitiri vizuri hapo naona hakuna ulipokimbia. Labda tu kujisitiri na mtandio usoni. Lakini hivyo vijola ulivyotaja ndio kabisa vinahamasisha kabisa unakutakuta mita**o yote mwaaa...! Vijola ndio maana vinatumika hata kusasambua uswazi. Utandawazi ukiingia Hakuna namna. Huwezi kuzuia mafuliko kwa mikono
 
Itakuwa siyo mimi. Mimi na Marry tunaheshimiana. Angalia kwenye huu uzi wake mwanzoni kabisa nimeitikia shikamoo yake. ๐Ÿค“
Nakuheshimu,haswa unavyojenga hoja na Yanga yako kule Jamiisports,siwezi kukuvunjia heshima
 
siajaona sbb yakumshambulia maana alichoongea ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ