Kazi mnayo!! ndio madhara ya kutegemea kodi ili muish hata utu hamna ni ubinafs tu kwann msingezifanya geust bas fugien kuku hayo mavyumba yenu
mimi nitatafuta nyumba za hivyo kisha silipi alafu nafukuzwa naenda kwenye nyingine. maana yake kama kodi miezi 3 nalipa yote 3. alafu 3 nyingine silipi nasubiri nifukuzweWeka sura ya kazi usicheke na wowote usisikilize tantalila ni either walipe au waondoke matatizo yao hayakuhusu!!
Ukiwapa dakika moja tu ya kuwasikiliza umekwisha utasamehe Hadi kodi!
Sio kwa mapovu hayo..😆😁😄Sasa kwanini upende vya Bure? Tunatengeneza taifa Gani? Yan kabisa wewe una uwezo wa kulipa ila unataka kukaa Bure? Huo usenge. Halafu pia je ni vibaya mtu kutegemea Kodi ya nyumba yake? Kajenga kwa jasho lake, au anajua amejengaje, wewe unaleta mapumbu unakaa halafu muda wa kulipa Kodi ukifika hulipi au unaanza stori ...mjini hapa unataka kukaa nyumba za watu bure...zile ni investment kama investment nyingine heshimuni biashara na uwekezaji za watu. Kama mtu hutak kusumbuliwa na wewe Toka jasho Hadi la ****** ujenge yako uishi raha mstarehe..mbona simpo tu...usenge usenge tu kupenda vya Bure *****
AiseeeNyumba nzuri waga ni gesti au fremu, kupangisha watu lazima uwe mvumilivu.
Kuna nyumba moja ni kama nilishamuweka mtu aiangalie. 😁
Mkali yule, ikifika kulipa kodi ananiwahi na excuse. Atalipa hapo kwa muda anaotaka yeye.
Ila uzuri waga analipa, nahisi ni lige tuu inamsumbua.
Wanawake wengi wana huruma sana hawawezi kushurutisha mpangaji.😹😹😹 Aiseee mi siwezi..
Kuna mpangaji alikaa mwaka mzima hajalipa kodi na haonekani. Simu zake hazipatikani.
Siku amekuja kurudi napewa taarifa alikuwa migodini na kachafuka pesa. Nikajua atanitafuta anipe pesa zangu za kodi..!!
Huwezi amini alimaliza pesa zote kwa starehe na hajalipa kodi.. nilichofanya nilimtolea vitu vyake nikavijaza store..!! Kaka yake alikuja akavichukua hata mia mbovu sikuambulia..!! Nikasamehe 😥
Mwenye nyumba wa kukuacha ukae miezi 3 hujalipa kodi huyo Taahira!mimi nitatafuta nyumba za hivyo kisha silipi alafu nafukuzwa naenda kwenye nyingine. maana yake kama kodi miezi 3 nalipa yote 3. alafu 3 nyingine silipi nasubiri nifukuzwe
Hata hawajalikuwa mkali,
wambie nikija hapo mtahama wote.
Naomba uje upange kwanguBadilisha aina ya wapangaji, mm nipo mbali na ninae mlipa ila najitahidi ikifika namtumia bila kukumbushwa.
We jamaa n pole tu unatoa kila nyuzi
HowTeach people how to treat you.
Rule number 001.
Eti eehWape notisi wote,ukiwa huko tangaza nyumba iko wazi,ukipata wapya,wape masharti ya jinsi ya kulipa Kodi,chagua mmoja wapo awe mkasanyaji wako,hata ikibidi mlegezee Kodi kidogo,kujenga mshikamano nae!
Bomoa nyumba hio kila mmoja akajenge yake kisha rudi huko mbali ukiwa umeacha pagale ambalo halikalikiWakuu, akili imezima
Wapangaji hawalipi na niko mbali
Mkuu tumejenga ili kupata chochote siyo kutoa msaadaMzee wangu kweli ni mtu muungwana sana na Huwa hategemei kodii za nyumba zake..anajua maisha na Kuna wengi TU Wana kaa kwenye nyumba zake bureeeee
Hata hapa dar Kuna watu Wana nyumba zao na hawana watu wa kukaa hivyo ukibahatika unakaa bureeeee kabisa kwenye mjengo wa maana..
Ila Kuna watu wanategemea Kodi kuishii ogopa sana hao watu ukipanga kwake utajutaa
Kweli kuna watu na viatuBomoa nyumba hio kila mmoja akajenge yake kisha rudi huko mbali ukiwa umeacha pagale ambalo halikaliki
Bomoa hio nyumba tena kabla ng'oa bati ondoka nazo halafu tuone km hawajakuita muyamalize ondoka na bati zoteKweli kuna watu na viatu
Una msongo wa mawazoKazi mnayo!! ndio madhara ya kutegemea kodi ili muish hata utu hamna ni ubinafs tu kwann msingezifanya geust bas fugien kuku hayo mavyumba yenu
Kweli kuna watu na viatuBomoa hio nyumba tena kabla ng'oa bati ondoka nazo halafu tuone km hawajakuita muyamalize ondoka na bati zote