Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

Niliwahi kuwa na mama mwenye nyumba anayeishi mbali na hakumbushii kodiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ inabidi ujiongeze mwenyewe ulipie.

Yaani nikijisahau nae anasahau. Siku namlipa hata hajui ni ya muda gani🀣
Nipe namba yake
 
Bora huyo
 
Niliwahi kuwa na mama mwenye nyumba anayeishi mbali na hakumbushii kodiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ inabidi ujiongeze mwenyewe ulipie.

Yaani nikijisahau nae anasahau. Siku namlipa hata hajui ni ya muda gani🀣
Mizi wewe shindii
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama una wapangaji wengi ni shida lakini mpangaji mmoja ni rahisi. Binafsi huwa namkumbusha mwezi mmoja kabla ya muda wa kodi kwisha lkn wakati mwingine anatuma tu mwenyewe hata bila kumkumbusha
Mmoja juzi mdada nimemuambia Kodi ijayo nataka ya miezi sita, kaninunia! Wapangaji ni mtihani sana!
 
weka system ya ku lock milango kwa kuhesabu siku, na pia luku system inayo ruhusu kuweka wewe tu.
Kwenye Lodge mnafanya nini kudhibiti wafanyakazi wasio waaminifu wanauza vyumba halafu haweki rekodi kwenye daftari?
Milango ya kufungua kwa kadi inaweza kusaidia ?
Upo uwezekano wa kufungua milango kwa Code ambayo inakuwa inasomq na kwa mmiliki pale mteja anapoingia.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…