Unahisi kifo chako kitasababishwa na nini?

Achawa wote watakufa kwa yatikanayo na uchawa wao,kama vile mwishi atakufa kwa arobaini ya wizi wake๐Ÿ˜…
 
Hakuna guarantee hata punje ya haya unayoyasema.

Umeandika kama watoto wa sunday school.
Watu mna wivu hata kwenye namna ya kifo cha mtu anavyojitabiria.

Waliojitabiria kufa vibaya haujatoa maoni yoyote, Ila huyu aliejitabiria kufa kifo chema unamjia juu...

Ama kweli tunaishi na watu wabaya sana.
 
Sijui mazingira gani kifo kitanikuta maana kila sehemu haipo safe.

Nimejiandaa kufia sehemu yeyote ile kwasababu kifo sikiogopi.

Pamoja na kuwa kifo sikiogopi lakini bado siwezi kufa kizembe.
Ushawahi kukutana nacho mpaka useme hukiogopi.
 
Kama ambavyo sikuchagua tumbo la kuishi miezi 9 kabla sijazaliwa. Basi hata kifo sina wazo nacho maana najua kipo. Ninachokifanya ni kufanya jambo sahihi kila hatua
 
Nitakufa Nina miaka 150,sura. Hadi macho yangu yatakua mazima na ngozi isiyo na makunyanzi!!
Nikiwa kitandani nimepumzika siku hiyo baada ya kuwasimulia wajukuu habari za heka heka za uchaguzi was 2015 na kifo Cha jpm 2021, na kutogombea Kwa mama Samia 2025!pia nitakua nyumba ndogo sio hii kubwa niliopo!!

Nitasimulia jinsi dar es salaam ilivyoangamia 2024 Mei 20!!

Wakati huo nikiwa ni mstaafu makam wa pili wa Raise wa Tanzania!nikiwa na watoto 12 na wajukuu zaidi 24!!

Nadhani ni hapo mwaka (2024+150=2174)!!

Nadhani!!

Mungu anilinde na kunijaalia uhai was miaka mingi sana!!!

Acha niendelee kujilinda dhidi ya pombe na uasherati kama nifanyavyo kwa muda mreeefu sana!!

Na Mungu was majeshi ayajibu maombi yangu ameen!!
 
nitakufa katika uzee mwema kabisaa. 97 years.
Nimeoza wanangu na nimewaona wajukuu na vitukuu mpaka vilembwe.
Nitakufa kwasababu ya utu uzima tu/uzee. Nitafia usingizini pale Aga khan.
Aga Khan utakwenda kulala siku hiyo au itakuwa nyumba ya wazee?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ