Unahisi kifo chako kitasababishwa na nini?



Ondoa hayo mawazo, utakufa mapema
 
nitakufa katika uzee mwema kabisaa. 97 years.
Nimeoza wanangu na nimewaona wajukuu na vitukuu mpaka vilembwe.
Nitakufa kwasababu ya utu uzima tu/uzee. Nitafia usingizini pale Aga khan.

1.Kwnini Umechagua Aga Khan na Sio Muhimbili?
2.Hata kama ukiwa Mtu Mzima lazima Utakufa kwa Either Strock,Kifua,Sukari,Au maradhi yeyote yale…

Niambie Nani Unaemjua Kafa bila ugonjwa?
Huko kufia Usingizini wanakuwaga na Either Shinikizo la Damu au au Heart attack Kaka…Yaani Inakuwa Kimya Kimya!
ni basi tuu watu tunakuwa hatujui!
Niambie hata Kiongozi gani Mkubwa kafa na Umri mkubwa bila Kuugua?
 
Muhimbili huwa naenda kuona wagonjwa tu. Si mahala napendelea kupata matibabu
 

Nakupunguzia miaka 60

Utaishi miaka 93

Bless you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…