Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

Kuacha kufanya kazi is the beginning of your end. Uache kufanya kazi ili ufanye nini sasa? Ulale au upulizane au uangalie TV siku nzima? Huo ni uzwazwa. Sema ufanye kazi under no pressure. Ufanye mambo kwa ufanisi.
 
SAHIHI ,,,,tena ukapata na mwenza wa maisha anaefata principles zako.
Hapo kwenye mwenza sasa ndo kimbembe.
Mimi naamini mwenza sahihi ni yule mnaeanza nae safari tangu ukiwa apeche aroro. Huyo anakua anafuata principles zako na pia anakua na uchungu na unachokipata.
Changamoto inakuja pale ambapo wanaume wengi tukishaanza kupata mtonyo tunakua vibolodinda. Kila sehem tunataka kutembeza mkia.
Wanawake wakishaona hvo, ni vurugu tu, mixa kuuana au kulogana.
Hata bible inasema kila mtu afurahie mke wa ujana wake.
 
Govt Bond hazina hasara?
Sijawahi sikikia mtu amepata hasara and in case ikatokea hasara utarudi kutafuta ulipo ipata 1 billion

Pia ukiwa na 1 billion unaweza ukawa unakula 1,388,888 kila mwezi kwa miaka 60 mfurulizo*

Hivyo kama utaishi miaka michache unagawanya miaka yako kwa 0ne billion Kisha unaangalia kwa mwezi au siku utakua unatumia bei gani
 
endelea
 
Kwa pesa isiyokuwa ya kufuja wala kujinyima, kwa siku mtu unahitaji angalau 100,000/= hapo nyumba ya kuishi unayo tayari

Kwa hiyo kwa mwaka unahitaji angalau 36, 600,000/=
Kwa miaka 10 unahiaji million 366
Kwenye hizi ngeza million zingine 36.60 kutokana na inflation
Hapo zinakuwa angalau million 410 kwa miaka kumi

Million hizi 410 zidisha sasa na miaka yako ya kuishi ambayo unakisia kuwa imeabaki, ukichukualia kuwa utaishi angala miaka 95+
 
namaanisha unakuwa huwazi tena kuhusu hela, labda utakua na mishe ila hazihitaji nguvu kuendesha

yaani unakua huishi kwa ratiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…