Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

Kuacha kufanya kazi is the beginning of your end. Uache kufanya kazi ili ufanye nini sasa? Ulale au upulizane au uangalie TV siku nzima? Huo ni uzwazwa. Sema ufanye kazi under no pressure. Ufanye mambo kwa ufanisi.
ntatafuta kingine tu ila nataka ule uhuru flani hivi, siishi kwa ratiba
 
Wanaume zetu wa kibongo kwa kupenda chini, bora mfanye kazi hivyo hivyo mbanwe.

Anyways kutokufanya kazi kabisa haiwezekani, huwezi amka ukalala ukala bata tu utapata depression.

Changamoto zinaleta balance ya afya ya akili.
Sio wanaume tu, hata wewe ukikaakaa tu unakula na kushiba utataka kuwekwa kila siku.

Yaani nipo na kitita sina stress, mbona K zitanikoma[emoji1787]
 
Sio wanaume tu, hata wewe ukikaakaa tu unakula na kushiba utataka kuwekwa kila siku.

Yaani nipo na kitita sina stress, mbona K zitanikoma[emoji1787]
Weeee ngoja nitajaribu hata miezi 6 tu nione kama ntautaka daily, na huyu mzee alivyo busy sijui itakuwaje! 😆🤣

Kwamba mbususu zitakukoma! Nimecheka aisee! 😂
 
Weeee ngoja nitajaribu hata miezi 6 tu nione kama ntautaka daily, na huyu mzee alivyo busy sijui itakuwaje! 😆🤣

Kwamba mbususu zitakukoma! Nimecheka aisee! 😂
Shida ni kuwa wewe utakuwa huru na yeye yupo busy, muwe na pesa za kutosha na hamna cha kufanya, kila kitu kipo ndani..hakika ni mwendo wa kuchakatana tu...tatizo utamkinai na kutaka kuonja nje🤣
 
Kufsnya kazi ndio maisha yenyewe,ni part and parcel ya kuishi, maisha bila kuhangaika, yanapoteza utamu,it's a necessity,
Na Acha kuwaza kuwa maisha yanaisha pale unapokufa wewe! Dunia itaendelea kuwepo hata baada ya miaka miaka 500! Lazima uache mchango wako hapa duniani, ili wengine wafaidike, hao wenye pesa lakini bado wanafsnya kazi na kuangsika,wanajaribu kutatua matatizo ya wanadamu, dunia bado Ina njaa, watu wanahitaji ajira,tiba ya magonjwa mengi kama AIDS!
Kwa watu wadogo, ajira pesa kula, kusomesha ndio mwisho! Lakini kuna zaidi! Ondoka duniani, uiache bora kuliko ulivyoikuta, ajira za, kutosha, ukwasi, urithi wa majumba kwa kizazi chako nk, usiwe selfish,
 
huko kwenye kuacha alama duniani kunanipa mimi manufaa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…