Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Mkuu, hiyo unayotaka kununua ni nini? Fafanua vizuri basi. Kuna 1.3Bil kwenye ac ya Bibi. Nataka kufanya tukioBillion moja na kuendelea
Mchanganuo
Pesa yote nunua Gvt bond
Faida approximately 120m annually equivalent to 10M monthly
Hapa utakaa popote Tanzania na utakula milo yote muhimu na hela ya kusaidia shida za hapa na pale
Hahahaaaaa kina mo rostam unawaona lakn bado wanachakarika na wana pesa hizo unazoziota πntapata tu kitu cha kupitisha mda,
passion projects, kazi za kujitolea, familia nk
Kwamba hadi sasa benki bado zinatoa Riba? Au unafanya kukopesha makampuni! Au basi acha tu, haya mambo yana wenyeweTechnically i need a minimum of 5 million dollars.
Twende taratibu, hyo 5M nkiiweka fixed at a minimu of 5% return per annum nna uhakika wa kupata 41 Million tanzanian shillings per month.
Ukitoa max. Kodi ya 20% nabaki na 32.8M approximately 33M.
Therefore per day nna uhakika wa kuspend about 1M bila kuyumba.
Niendelee na uchambuzi au niishie hapa hapa??
mimi naona ni warohoHahahaaaaa kina mo rostam unawaona lakn bado wanachakarika na wana pesa hizo unazoziota π
itawezekana tu, nikishazipata ntakuja kumuoa DavinarπHaiwezekani bana, acha kutusumbua.
Ukishakuwa na kiasi fulani cha pesa basi kwa % kubwa na matumizi nayo ni hivyo hivyomimi naona ni waroho
kufanya kazi ni afya mzee. though mimi nahitaji bilioni 50 tu ningestaafu.Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.
Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba hutohitaji kufanya kazi tena? Na kama inawezekana, ni kiasi gani cha fedha kinahitajika?
afya gani banakufanya kazi ni afya mzee. though mimi nahitaji bilioni 50 tu ningestaafu.
ntatafuta kingine tu ila nataka ule uhuru flani hivi, siishi kwa ratiba
yah ntajishughulisha kidogo ntafungua hata awareness campaign for non religious peopleπUtatafuta kazi nyingine?
Unachohitaji ni uhuru sio kuacha kazi. Kazi na maisha ya mwanadamu vinaenda sambamba regardless of kipato ndo maana mabilionea kila siku wanaanzisha foundations na projects mpya kuwa keep busy sio kulala tu ndani.
Unadhani Kikwete hana mpunga wakulala tu ndani hadi Mola atakapomuita? Kwanini bado kila siku anahangaika majukwani, mikutanoni ndani na nje ya nchi na bado ana JK Foundation.
Bill Gates ana Gates foundation. Etc etc
Studies show wastaafu wanazorota kiafya haraka mara tu wakistaafu. Ukiacha kujishughulisha ndo mwanzo wa mwisho wako.
πππ¦πββοΈitawezekana tu, nikishazipata ntakuja kumuoa Davinarπ
Ukimuoa Zuchu.Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.
Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba hutohitaji kufanya kazi tena? Na kama inawezekana, ni kiasi gani cha fedha kinahitajika?
parefu balaa tunaongea tu hapaπ€£Bilioni 1 π
parefu balaa tunaongea tu hapaπ€£
Namna mbili ya kuweza wekeza hapaMkuu, hiyo unayotaka kununua ni nini? Fafanua vizuri basi. Kuna 1.3Bil kwenye ac ya Bibi. Nataka kufanya tukio
Changanua basi, hata nikisema nakimbia, nijue nakimbia