johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Niko njema bwashee!Bwashemeji !! Kwema lakini?
Nimekuelewa bwashee!Kwa CEO mamlaka ya uteuzi iko juu yake, naye alisema hao wengine anawaachia wa juu yake au umesahau yale ya TBA alipotengua kesho yake mzee baba akamrudisha! PM mtu makini hataki fedhea zinazoepukika.
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Wakati mwingine siyo hadi utenguliwe bali wewe mwenyewe unajiweka pembeni kwa muda!Aliyemteua ndo atakayemtengua
Sio kwa waliolelewa kwenye mfumo wa kitanzania ambao unasema " bora ufe na tai shingoni kuliko kuwajibika".Wakati mwingine siyo hadi utenguliwe bali wewe mwenyewe unajiweka pembeni kwa muda!
Kuna mtu aliambiwa hana guarantee ya kumaliza mitano ! So lazima acheze kwa Step kama aliyosema Juma Mchopanga.Lazima Waziri mkuu awe makini anaweza kumgusa Mkurugenzi mkuu akajikuta yeye ndio anafukuzwa badala ya huyo Mkurugenzi mkuu.
Kwani mkurugenzi wa TAKUKURU hawezi kumgusa Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Umma yaani SU?Lazima Waziri mkuu awe makini anaweza kumgusa Mkurugenzi mkuu akajikuta yeye ndio anafukuzwa badala ya huyo Mkurugenzi mkuu.
Umeongea kisiasa zaidi siyo kikatiba!Majaliwa hawezi kumfanya lolote Kakoko, Board yenyewe ya TPA kaiweka mfukunoni, hakuna anayefanya fyoko...Kakoko anareport moja kwa moja Chato
Kakoko ni Core Member wa TANROADS Syndicate iliyokusanya hela huku na huku kumwezesha Waziri wa Ujenzi wa wakati ule apate Urais, kwa hiyo Kakoko is Untouchable...wengine ni Mfugale, na CAG Kichere, hao wana ubia wa moja moja kwenye Awamu hii ya Urais.
If anything Majaliwa ndo anaweza kupoteza Uwaziri Mkuu wake maana yeye ni Outsider kwenye hilo kundi la TANROADS
Tunza hii kama rejea baadaye
Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist , wewe nawe!, yaani unataka kumtilia mchanga, kitumbua chake?, hajui yeye na naniliu, walikutana wapi?, hawakukutana barabarani!. Hata hivyo Zanzibar ni Zanzibar na Tanzania Bara ni Tanzania Bara!.Ndio nauliza, uchunguzi huo unafanyikaje bila Mkurugenzi mkuu wa Bandari kuwekwa pembeni ili asiuingilie?
Kule Zanzibar Rais Mwinyi alishatoa angalizo penye uchunguzi wa kitaasisi Mkurugenzi Mkuu lazima akae pembeni kuachia mazingira huru ya kuchunguza, huku bara sijajua tunafeli wapi.
Maendeleo hayana vyama!