Unaichunguzaje Bandari nzima wakati CEO wake yupo kazini? Hii inakuwa ni zaidi ya siasa

Unaichunguzaje Bandari nzima wakati CEO wake yupo kazini? Hii inakuwa ni zaidi ya siasa

Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi mkuu wa Takukuru na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini.

Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam.

Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma.

Ndio nauliza, uchunguzi huo unafanyikaje bila Mkurugenzi mkuu wa Bandari kuwekwa pembeni ili asiuingilie?

Kule Zanzibar Rais Mwinyi alishatoa angalizo penye uchunguzi wa kitaasisi Mkurugenzi Mkuu lazima akae pembeni kuachia mazingira huru ya kuchunguza, huku bara sijajua tunafeli wapi.

Maendeleo hayana vyama!
Naona akili imeanza kurudi?
 
Aliyemteua ndio mwenye mamlaka na hilo la kumuweka pembeni au kumtumbua.

Yeye hajaona shida yeyote
Ameona shida lakini hayo ndo matokeo ya uteuzi kufanyika kwa kufuata vigezo visivyo vya kitaaluma au uwezo kwa hiyo Waziri Mkuu anatekeleza maagizo toka juu na TAKUKURU watakuja na matokeo ya uchunguzi ya kumlinda CEO na kumkosoa CAG.
 
Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi mkuu wa Takukuru na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini.

Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam.

Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma.

Ndio nauliza, uchunguzi huo unafanyikaje bila Mkurugenzi mkuu wa Bandari kuwekwa pembeni ili asiuingilie?

Kule Zanzibar Rais Mwinyi alishatoa angalizo penye uchunguzi wa kitaasisi Mkurugenzi Mkuu lazima akae pembeni kuachia mazingira huru ya kuchunguza, huku bara sijajua tunafeli wapi.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu,

Leo ndio umeandika la maana kwa maslahi ya taifa.

Haiwezekani vidagaa vinavurumishwa wakati ambaye siku zote anawajibu wa kuchungulia dagaa hajafanya lolote hadi afike waziri Mkuu.

Ili kutenda haki ni busara mkurugenzi ajiuzulu mwenyewe au mamlaka yake imweke pembeni kwa uchunguzi kuendesha bila kuingiliwa unless this is a cover story to sacrife a few to cleanse the bigwigs.
 
Kwa CEO mamlaka ya uteuzi iko juu yake, naye alisema hao wengine anawaachia wa juu yake au umesahau yale ya TBA alipotengua kesho yake mzee baba akamrudisha! PM mtu makini hataki fedhea zinazoepukika.

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Hana lolote angekuwa mtu makini asigekubali kufanya kazi na huu utawala hata dak 1.
 
Mwenye garantii na kazi yake ni kiongozi wa malaika tu baaasi, kwa hiyo PM atakuwa analijua hilo...
 
Unadhani mtaona sura mpya zinakuja kufanya uchunguzi, kuna watu tayari wapo humo kitambo sana...

Cc: mahondaw
 
Wakati mwingine siyo hadi utenguliwe bali wewe mwenyewe unajiweka pembeni kwa muda!

Ajiweke pembeni wakati anajua hao maboss wake wameingia madarakani kwa rushwa, wizi wa kura na umwagaji damu?
 
Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini.

Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam.

Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma.

Ndio nauliza, uchunguzi huo unafanyikaje bila Mkurugenzi mkuu wa Bandari kuwekwa pembeni ili asiuingilie?

Kule Zanzibar Rais Mwinyi alishatoa angalizo penye uchunguzi wa kitaasisi Mkurugenzi Mkuu lazima akae pembeni kuachia mazingira huru ya kuchunguza, huku bara sijajua tunafeli wapi.

Maendeleo hayana vyama!
Paza sauti gonga glas semaa 5 tenaaa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kakoko ni Core Member wa TANROADS Syndicate iliyokusanya hela huku na kule kumwezesha Waziri wa Ujenzi wa wakati ule apate Urais, kwa hiyo Kakoko is Untouchable. Wengine ni Mfugale, na CAG Kichere, hao wana ubia wa moja moja kwenye Awamu hii ya Urais.
Ndio maana waliokuwa Tanroads wote wameula na wanalindwa haswaaaaaaaaaaaaaaaa ndani ya Tanroads au sehemu walizopelekwa.
 
Ndio maana waliokuwa Tanroads wote wameula na wanalindwa haswaaaaaaaaaaaaaaaa ndani ya Tanroads au sehemu walizopelekwa.
Jamaa kafanya vurugu zote kwenye taasisi za Serikali lkn hajawahi kuigusa Tanroads

Mameneja wote wa Mikoa wa Tanroads wa kipindi chake wote ni Wakurugenzi Wakuu wa Mashirika ya Umma au ni Makatibu Wakuu wa Wizara, au watu wazito ndani ya Wizara na Taasisi mbalimbali.

Tanroads na mademu zake ndo wanasumbua kwa sasa
 
Jamaa kafanya vurugu zote kwenye taasisi za Serikali lkn hajawahi kuigusa Tanroads, Mameneja wote wa Mikoa wa Tanroads wa kipindi chake wote ni Wakurugenzi Wakuu wa Mashirika ya Umma au ni Makatibu Wakuu wa Wizara, au watu wazito ndani ya Wizara na Taasisi mbalimbali...Tanroads na mademu zake ndo wanasumbua kwa sasa
Wale ambao walistaafu na hawakupata uteuzi waliongezewa mda wa kushika u RM Hadi miaka 2
 
Back
Top Bottom