pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Huyu Kakoko ni mtu wa 'mzee baba' nyie ndio maana ni mbabe sana na hudharau wengine. Muulizeni Waziri aliyepita!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona akili imeanza kurudi?Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi mkuu wa Takukuru na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini.
Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam.
Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma.
Ndio nauliza, uchunguzi huo unafanyikaje bila Mkurugenzi mkuu wa Bandari kuwekwa pembeni ili asiuingilie?
Kule Zanzibar Rais Mwinyi alishatoa angalizo penye uchunguzi wa kitaasisi Mkurugenzi Mkuu lazima akae pembeni kuachia mazingira huru ya kuchunguza, huku bara sijajua tunafeli wapi.
Maendeleo hayana vyama!
Ameona shida lakini hayo ndo matokeo ya uteuzi kufanyika kwa kufuata vigezo visivyo vya kitaaluma au uwezo kwa hiyo Waziri Mkuu anatekeleza maagizo toka juu na TAKUKURU watakuja na matokeo ya uchunguzi ya kumlinda CEO na kumkosoa CAG.Aliyemteua ndio mwenye mamlaka na hilo la kumuweka pembeni au kumtumbua.
Yeye hajaona shida yeyote
Kumgusa siyo tatizoKwani mkurugenzi wa Takukuru hawezi kumgusa Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Umma yaani SU?!
Uhusiano wa kikazi au binafsi?Kumgusa siyo tatizo
Shida inakuja huyo Mkurugenzi wa shirika la umma ana uhusiano gani na mze baba.
Mkuu,Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi mkuu wa Takukuru na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini.
Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam.
Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma.
Ndio nauliza, uchunguzi huo unafanyikaje bila Mkurugenzi mkuu wa Bandari kuwekwa pembeni ili asiuingilie?
Kule Zanzibar Rais Mwinyi alishatoa angalizo penye uchunguzi wa kitaasisi Mkurugenzi Mkuu lazima akae pembeni kuachia mazingira huru ya kuchunguza, huku bara sijajua tunafeli wapi.
Maendeleo hayana vyama!
Hana lolote angekuwa mtu makini asigekubali kufanya kazi na huu utawala hata dak 1.Kwa CEO mamlaka ya uteuzi iko juu yake, naye alisema hao wengine anawaachia wa juu yake au umesahau yale ya TBA alipotengua kesho yake mzee baba akamrudisha! PM mtu makini hataki fedhea zinazoepukika.
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Wakati mwingine siyo hadi utenguliwe bali wewe mwenyewe unajiweka pembeni kwa muda!
Paza sauti gonga glas semaa 5 tenaaaNimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini.
Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam.
Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma.
Ndio nauliza, uchunguzi huo unafanyikaje bila Mkurugenzi mkuu wa Bandari kuwekwa pembeni ili asiuingilie?
Kule Zanzibar Rais Mwinyi alishatoa angalizo penye uchunguzi wa kitaasisi Mkurugenzi Mkuu lazima akae pembeni kuachia mazingira huru ya kuchunguza, huku bara sijajua tunafeli wapi.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio maana waliokuwa Tanroads wote wameula na wanalindwa haswaaaaaaaaaaaaaaaa ndani ya Tanroads au sehemu walizopelekwa.Kakoko ni Core Member wa TANROADS Syndicate iliyokusanya hela huku na kule kumwezesha Waziri wa Ujenzi wa wakati ule apate Urais, kwa hiyo Kakoko is Untouchable. Wengine ni Mfugale, na CAG Kichere, hao wana ubia wa moja moja kwenye Awamu hii ya Urais.
Una ushahidi bwashee?!Ndio maana waliokuwa Tanroads wote wameula na wanalindwa haswaaaaaaaaaaaaaaaa ndani ya Tanroads au sehemu walizopelekwa.
Jamaa kafanya vurugu zote kwenye taasisi za Serikali lkn hajawahi kuigusa TanroadsNdio maana waliokuwa Tanroads wote wameula na wanalindwa haswaaaaaaaaaaaaaaaa ndani ya Tanroads au sehemu walizopelekwa.
Unajifanya hujui auUhusiano wa kikazi au binafsi?
Endelea kuwaza kikatiba kama wewe unaijua zaidi katiba mwambie PM apanue mdomo kwa Kakoko,wako wengi kwenye kundi la mkuu ambao huyo PM hawezi kuwafanya lolote licha ya kwamba wao ni junior kwa vyeoUmeongea kisiasa zaidi siyo kikatiba!
We hujui mtu wa TANROADS huyo?Aliyemteua ndio mwenye mamlaka na hilo la kumuweka pembeni au kumtumbua.
Yeye hajaona shida yeyote
Wale ambao walistaafu na hawakupata uteuzi waliongezewa mda wa kushika u RM Hadi miaka 2Jamaa kafanya vurugu zote kwenye taasisi za Serikali lkn hajawahi kuigusa Tanroads, Mameneja wote wa Mikoa wa Tanroads wa kipindi chake wote ni Wakurugenzi Wakuu wa Mashirika ya Umma au ni Makatibu Wakuu wa Wizara, au watu wazito ndani ya Wizara na Taasisi mbalimbali...Tanroads na mademu zake ndo wanasumbua kwa sasa