Unaichunguzaje Bandari nzima wakati CEO wake yupo kazini? Hii inakuwa ni zaidi ya siasa

Ni kama mkurugenzi anaamini katika uwazi basi ajaze fomu ya likizo akapumzike wakati uchunguzi unaendelea
 
Ni kama mkurugenzi anaamini katika uwazi basi ajaze fomu ya likizo akapumzike wakati uchunguzi unaendelea
Wa kumwambia hivyo hayupo labda Magu/Kijazi maboss zake wa zamani kule Tanroads ndio wanaweza kumuamrisha afanye hivyo.
 
To be fair, Deus Kakoko alipaswa asimamishwe ili uchunguzi huru ufanyike. Sasa tunaziona DOUBLE STANDARDS za Magufuli kwa kuwa Kakoko anachunguzwa akiwa ofsini.

Huyu Kakoko amekuwa anawatishia Wafanyakazi wanaopinga vitendo vyake vya ufisadi kuwatoa TPA na anawaambia kuwa "nikikufukuza mimi hata uende ukakate rufaa kwa Magufuli hatakusikiliza"

Sasa tutapima nguvu za Majaliwa Kassim kama kweli yeye ni Waziri Mkuu au anavaa makoti ya Waziri Mkuu tu
 
Lakini Kakoko anamchafua Rais kwa ufisadi wake. Nafuu yangekuwa kama Kicheere ambaye yeye ni kazi kazi tu.

Kakoko inaaminika kuwa wakati wa Makame Mbarawa akiwa Waziri, yeye alikuwa na nguvu kuliko Waziri na hatimaye aliweza kumtoa Wizara ile na kumpeleka Maji
 

Huna kiongozi yoyote anaweza kuchukua hatua yoyote kwa mtu yoyote aliye karibu na rais aliye madarakani. Labda rais mwenyewe aamue kuchukua hatua na wala sio sheria. Huyo waziri Mkuu anafurahisha genge tu hapo alipo. Utawala wa sheria utachukua nafasi nchi hii iwapo tu kifungu cha rais aliye madarakani, au kutoka kutoshtakiwa kitaondolewa. Kinyume na hapo sheria za nchi zitaendelea kuwa na double standard, kutokana na kuwa mkosaji ana ukaribu gani na rais aliye madarakani.
 
Pm hawezi kumfanya lolote
 
Pm hawezi kumfanya lolote
Ukiwa na aspirations za kuja kuwa KIONGOZI MKUBWA katika Taasisi hata Nchi lazima UJUE KUKANYAGA KWA STEP huku ukienda kwa HEKIMA na BUSARA kwa walio juu yako

Hii ni kanuni ya Management
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…