Unajisikiaje unapopata reactions za wadau kwa ulichopost?

Sijamuignore mtu yeyote Ila nilikuwa napatwa na huzuni na msongo wa mawazo pale mtu akiweka kiishara Cha kucheka yaani šŸ˜‚

Nilikuwa naumia Sana nikaanza kuanzisha nyuzi kulaani hiyo tabia kwenye komenti zangu na nyuzi zangu bado tabia haikukima bali ikashamiri .

Siku moderator akanifuata PM yangu na kudai kuwa shida ni kuwa naandika Mambo yakuchekesha ile kauli ya yule moderator iliniumiza moyo na kunikatakata utumbo wangu toka hapo naandika tu chochote kile roho yangu itanituma maana Kama viongozi wenye walishindwa kunitetea kwa manyanyaso ya kimtandao niliyokuwa nayapitia Sasa nifanyeje .

Rai yangu .
Ikiwa utaona komenti yangu yoyote na kucheka jua sikupendi nakuchukia Sana Ila ndiyo hivyo nimeumbiwa moyo wa kusamehe na kustahimili mapigo ya dunia
 
🤣🤣🤣🤣Kweli comments yako imenichekesha
 
Back
Top Bottom