Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Hahahaha Ms Leejay49 sio mbaya wakati mwingine inakuwezesha kuchungulia hiyo ignored content. Alafu huyo unayemu ignore hawezi akawa mbaya kwako siku zote š¤£š¤£š¤£JamiiForums inabidi hiki kitu wakiondoe habari za kunipa option tena kwa watu nliowaignore sio poa wala nini
